Weekend hang outs.!!!

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
Ka mnavojua weekend ndo hiyo imefika na jf imebakiza masaa kadhaa iwe offline kwa siku ka tatu.!!! kwa jinsi navowapenda wana chit chat na ctaki kuwamithi nimejitolea wall yangu ya fb during the weekend ukaandike chochote utakachojisikia na sisi tutachangia ka kawa.!!! Hope i wont miss u that much...
vigezo na masharti kuzingatiwa
 
jamani JF is only off for 3days mbona mna sound as if tuna msiba humu ndani!! u guys are so addicted to this thing huh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom