Week end yangu ilikuwa mbaya

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,012
10,652
Mimi na-declare interests kwamba ni mnazi wa kutupwa wa Yanga S.C. na Arsenal F.C. Week end iliyopita walininiyma raha kabisa.Nawasubiri CDM wanitoe kimasomaso Igunga.Ni hayo tu bandugu.
 
Pole mkuu ingawa tunashirikiana maumivu ya Arsenal lakini tunapishana kwa maumivu ya Yanga na matumaini yako kupewa raha na Magwanda. Nadhani ungeandaa ndoo ya kukingia machozi kabisa kwa matokeo ya Igunga!
 
Mkuu Igunga lazima nilpate raha kwa CDM kupeta.
 
kaka na kwangu kama kwako ila igunga tuombee hawa wachakachuaji waliokubuhu mungu awatie upofu siku hiyo ili tupooze mtima.
siku njema.
Poa,kule ni kukomaa sana kama walivyofanaya Arusha na Nyamagana/Ilemela.Wameshaanza kuorodhesha w/kura ili wakwibe.
 
Huwa naogopa kuwa mshabiki wa mpira, naona watu mtaani wanavyopata tabu. Pole sana.
 
Mimi na-declare interests kwamba ni mnazi wa kutupwa wa Yanga S.C. na Arsenal F.C. Week end iliyopita walininiyma raha kabisa.Nawasubiri CDM wanitoe kimasomaso Igunga.Ni hayo tu bandugu.
mkuu wewe kila kitu kama mimi ni mbaya sana kwakweli! everything was bad mkuu!
 
mimi na-declare interests kwamba ni mnazi wa kutupwa wa yanga s.c. Na arsenal f.c. Week end iliyopita walininiyma raha kabisa.nawasubiri cdm wanitoe kimasomaso igunga.ni hayo tu bandugu.
jiandae kuzikwa kabisa kidumu chama cha milele
 
Meneja wangu wa bar aliondoka na hela ya mauzo ya weekend. Kiasi ni siri yangu.
 
Mi ilikuwa nzuri sana nilikuwa kwenye harusi ya Stephano Kiwelu, ilikuwa bomba sana hivyo nilibarikiwa sana hii weekend.
 
mimi na-declare interests kwamba ni mnazi wa kutupwa wa yanga s.c. Na arsenal f.c. Week end iliyopita walininiyma raha kabisa.nawasubiri cdm wanitoe kimasomaso igunga.ni hayo tu bandugu.
nimeamini una balaaa arsenal chali,cdm ,,,,,,,, kidumu chama cha milele
 
wikiendi yangu ilikuwa yenye kazi nyingi, ila nilifanikiwa kwenda jumuiya, kwaya, msibani then kanisani. hakukuwa na muda wa kupumzika kabisa.
 
Week end hii ilikuwa poa sana hasa baada ya Manure kupakatwa za kutosha.
 
Back
Top Bottom