Week 3 Porini wanaume watatu tuna Demu mmoja tu wa kumla.Alipata shida sana dada wa watu

Umenikumbusha kitu Mkuu. Way back huko nikiwa fresh from school, nilifanya mradi wa IHI, timu yangu ilikuwa ya members 8, madada wawili! Tulikuwa tunadeal na wilaya za Kilimanjaro zote kasoro Moshi Mjini! Kilichotokea hakifai kuweka hapa!
 
Haa haa haa aiseee dhaaa
Huyo dem kweli alijua kiboko yenu
 
Mwaka 2003 sitosahau katika kijiji kimoja huko Arusha ndani ndani hasa.kama unapafaham Endulen Tulikuwa tumeenda kikazi tukawa na dereva wetu na dada mmoja mrembo sana wa kizigua.

Tulienda kikazi muda wa week tatu nzima demu alikuwa single na sisi pia ready to mingle.katika huo mradi yeye aliletwa na moja ya mashirika washika dau.kwenye kampuni yetu tulitoka watu watatu.mmoja akiwa dereva mimi na jamaa mmoja alikuwa mtaalam wa kuorganize field na research.

Bas tukapiga kambi huko porini maana hamna guest house wala hotel.ni porini hasa tunalala kwenye tents.tumetoka dar wote tupo ndani ya VX tunaelekea arusha tunauza uza chai hapa na pale njian.yule demu alikaa mbele mimi na jamaa mmoja tukakaa nyuma.

Shida ilianzia arusha mjin tulipolala siku ya kwanza.tumechukua hotel yule dada alipata chumba cha katikati yetu.mimi kulia jamaa yangu kushoto dereva mbele. Tukasema tukale pamoja baada ya kula kila mtu akaagiza kinywaji tukaanza kupiga maji. Ikawa imefika mpaka saa saba watu tunategeana kwenda kulala.kila mtu anataka abaki na yule dada amwimbishe.na dada ameshajinywea St Anna zake kadhaa macho yamemlegea.maana wale wenzangu walikuwa wanashindana tu kumnunulia.

Imefika saa saba wote tumekomaa naye, saa nane...wote tumekomaa mwisho akaamua kusema anaenda kulala wote tukajifanya kushtuka"eeeeh kumbe muda umeenda" basi tukainuka tukamsindikiza akaingia kwake.

Kumbe issue bado mbichi kabisa.tumeingia vyumban baada ya nusu saa nkatoka nikakuta jamaa yangu naye yupo mlangon kwake.dereva naye akafungua mlango wote tukawa koridon kumbe tunammendea yule dada wa watu.

Basi nikajifanya nmesikia kama kuna mtu anagonga kwa rose nikahis mlev jamaa nao wakasema hivyo hivyo.bas tukakaa kama dk 5 kutegeana nani arud room kwanza.nikaona ujinga nikarud.

Baada ya kama dk 40 tena nikatoka na jamaa nao wakafungua mlango.nikauliza jamaa kama ana sigara akashtuka sana" bro umeanza lini kuvuta sigara?" Nikamwambia nasikia huwa zinasaidia kuleta usingzi mi naona umekata kabisa. Akanijibu "aaahh sasa ukisinzia na fegi bro si utaunguza hotel ya watu" aisee... Nlijisikia vibaya.akasema ye hana alitaka muuliza dereva kama anayo maana ye barid inamtesa.

Kushtuka kumekucha na yule demu ndo alikuja kutumsha sisi wawili kasoro dereva yeye aliwah ili kukagua gar n.k

Basi tukaliamsha kuelekea karatu.mida mida tukawa karatu na baadaye Endulen jioni sana. Usiku ilikuwa shida yule dada kila unapotafuta nafasi ya kumweka sawa naye mjanja ana stories nyng kabla hujamaliza anakuja mwnzio naye kukuvurugia utulivu.usiku ilikuwa yeye ndo anaamua tulale saa ngap. Maana asipoenda yeye kulala sisi wengine tunasinzia huku tunaota moto.tunakomaa naye tu.ila akisema "usiku mwaka jaman" utasikia na wewe pia uote ndoto njema halaf njemba wote tunaamka kuelekea kwenye tents zetu.nikaona ujinga huo.nikaachana na hizo mbio. Wakabak jamaa wawil kila mtu anataka avute mzigo mpaka yule dem akashtukia.mi nikawa najifanya kama si mind uzuri wake.basi akaona mimi ndo gentleman hasa na nina mheshimu.akawa karibu sana nami.sometime akienda kupooh kichakan anaomba nimsindikize au akienda kukojoa.

Nlikuwa napenda sana kwenda kuangalia chini alipokojoa palivyo na ile alama. Ila akienda kupooh alikuwa anafukia.tulikuwa na kijembe kidogo cha kuchimbia na kuhifadhi mbolea ardhin.

Mpaka tumemaliza week 3 yule demu alitutesa na wote hatukuona ndani tukaishia kuchora tu.mi nlikuja kumkamata tukiwa tumerud dar mwez mmoja baadaye.nikamsimulia ile situation alicheka mpaka machoz kumtoka anasema alihisi tu kuwa kule town tungetaka kumla nyama.na aliapa hatoliwa nyama kule na yeyote yule ili tumheshimu.

Jamaa zangu walipokuja jua nmemla walini mind sana huku wakinitukana kishkaj ila walimkubal sana yule dada.next time walipendekeza tunapoenda kikaz namna hiyo tubalance equation ili kuepuka majanga yanayoweka kutokea. Mnaweza uana hiv hivi. Ugomv mkubwa wa wanaume ni mademu na pesa.uliza duniani kote.
Mkuu Chizi Maarifa umenichekesha sana kwa kweli

Yaani hapa machozi yakucheka yametoka Mkuu hasa hapo kwenye kuamuka na kujikuta wote mmeamuka na mnaviziana

Ukaomba na sigara
 
kama alikua na mpenzi wake ni ngumu kwa mpenzi wake huyu kuweza kukubali kwamba wiki tatu hizo hakuchepuka tena akiwa na wanaume watatu porini.

hapa nimejifunza kuwa dem wako anaweza kuwa sehem hatarishi na bado asikusaliti. ILA MTU HUYOHUYO AKAKUAGA KUWA ANAENDA KANJSANI KUFANYA MAOMBI NA AKALIWA HUKOHUKO.
 
Umenikumbusha kitu Mkuu. Way back huko nikiwa fresh from school, nilifanya mradi wa IHI, timu yangu ilikuwa ya members 8, madada wawili! Tulikuwa tunadeal na wilaya za Kilimanjaro zote kasoro Moshi Mjini! Kilichotokea hakifai kuweka hapa!
Kiweke kwenye lile jukwa la chini kulee... tutalisoma :rolleyes::D:D
 
Umenikumbusha kitu Mkuu. Way back huko nikiwa fresh from school, nilifanya mradi wa IHI, timu yangu ilikuwa ya members 8, madada wawili! Tulikuwa tunadeal na wilaya za Kilimanjaro zote kasoro Moshi Mjini! Kilichotokea hakifai kuweka hapa!
Mkuu ulipataje hizo mambo..? Mie ndo nafatilia hapa ihi lakini sioni kabisa kama kuna uwezekano wa kupata..!
Nipe lonja mkuu..!
 
kama alikua na mpenzi wake ni ngumu kwa mpenzi wake huyu kuweza kukubali kwamba wiki tatu hizo hakuchepuka tena akiwa na wanaume watatu porini.

hapa nimejifunza kuwa dem wako anaweza kuwa sehem hatarishi na bado asikusaliti. ILA MTU HUYOHUYO AKAKUAGA KUWA ANAENDA KANJSANI KUFANYA MAOMBI NA AKALIWA HUKOHUKO.
Kuna ukweli ndani yake.
 
we ndio uliona alipata tabu wakati mwenzio alienjoy na kimoyomoyo anatamani iyo safari iwepo tena
 
NA MNGEMPGA MTUNGO BILA KUJIJUA, KESI HYO! ILA NAMPONGEZA DADA KWA KUKOMAA, VINGNEVYO ANGEONEKANA MALAYA. BORA ALIVYOWAGEUZA CHAPUTA.
 
Nlikuwa napenda sana kwenda kuangalia chini alipokojoa palivyo na ile alama. Ila akienda kupooh alikuwa anafukia.tulikuwa na kijembe kidogo cha kuchimbia na kuhifadhi mbolea ardhin.
aseh!!!...mengine yooote ya kawaida ila hapooo!!..
 
Back
Top Bottom