Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,219
- 36,216
Dadiiiii,
Ni Ijumaa tulivuu nasikilizia vitu vinavyoshuka chini.... (unisiulize vitu gani wee jua tu ni vitu)
Nitangulize asante kwa Mahaba unayonipa, haki ya nani najiona hivi hivi nnavyorukwa na akili, alioyesema mapenzi ni upofu hakukosea hata kidogo.
Hey, heey, oooohhh yeeeeaaah.
Oooh Dadiii niruhusu tuonane (dancing ona sasa ona...) huku nikiamini one day tutatotoa Jo & Co. wetu.
Dadiiii nikikuona, nikikuwaza nabanwa na haja [(hahahahha usijesema ntajiharishia, nimefunga) Dadiii ujue wanifanya nakuwa chizi hehehehehee]
Dadiii nakuaga kitoto ng'aang'aa............. wakati nakutunuku mia ya mia....
Kwenye rhomboids nikande, kwa mikono mitamu nikandee
Kama ruba nigande, tuzeeke wootee milele
Aaaahhh come baby come baby, msumari kwa nyundo nigonge
Aaaahhh Monday to Sunday I love youu so much Dadiiiiii....
(Dadii) Nikiinama iokote...
Sio kwa bedi, kwa kochi bafuni ichuchumalie, iokote..
Ukiiona kwa juu, chini unaizamia, iokote..
Dadii nipe karoti maharage sijazoea, iokote...
Nakunja goti napandisha mori nachechemea... aahahahahahaa asikwambie mtyu mapenzi raha sanaa wuuuhuuuuuu I love youu Dadiii...
(Vurugu zinaanza sasa, acha zile za masikioni.... hehehehehee)
Nikitoka kuoga nakutengea, ya motomoto (chakula cha moto siku zote ni kitamu na hakiishi hamu)
Natingaa moka na tenge, tutoke mtoko,
Boda kwa boda totokomee, chocho kwa chocho..... (Sima CCM)
Nikilegea unibebe, mi kwako mtoto (hehehehhehehee fcuk you)
Heey, refa kakupa nafasi, mpira ushawekw kati
Nahitaji magoli weeh tinga zako piga shuti nikudakeee...
Kasie's Mahaba to Dadii Remix..
Dadii huyu mpiga gitaa amenipa hamasa, ujue kuna usanii / utundu mtu akiwa nao vingine huoni unaona hiko tuu. Ntajifunza kupiga gitaa halafu ntakuwa nakusemesha kwa gitaa, yaani ukiniongelesha mie nakujibu kwa tune za gitaa.... aahahahahaahahahahaaa that's Kasie.
Utasema kinanda kumbe guitar....
Basi asiye na mwana aeleke jiwe, mie na Dadii tunaelekana kwa raha na afya zetu.
Nikiinama iokote (dance ona sasa ona....)
Nipe karoti maharahge sijazoea... napenda kudeki weeh iokote.
Mahaba aka Mapenzi ya Kasie kwa Dadii ni zaidi ya ugaidi wa Osama, kimahaba zaidi.
Kasie Mahaba
Kasie Matata
K'Matata.