Wee kaka jamani

Carrissa

Senior Member
Jun 13, 2017
158
500
Habari za Jioni wananchi.

Kuna huyu kaka humu mwenzenu nimejikuta tu namkubali kupita maelezo
Natamani sana kumjua maisha yake katika uhalisia
Natamani sana basi awe hata rafiki yangu tu mwenzenu sijui mtanisaidiaje.

Kwa zile sifa anazosifiwa seems he has something extra.......

Smart 911 namimi nampenda jamani naombeni msaada

I just wish...........
 
Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,058
2,000

Asipotokea nifuatilie na mimi
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,289
2,000
Habari za Jioni wananchi.

Kuna huyu kaka humu mwenzenu nimejikuta tu namkubali kupita maelezo
Natamani sana kumjua maisha yake katika uhalisia
Natamani sana basi awe hata rafiki yangu tu mwenzenu sijui mtanisaidiaje.

Kwa zile sifa anazosifiwa seems he has something extra.......

Smart 911 namimi nampenda jamani naombeni msaada

I just wish...........
Kuwa makini usije ukavamie couple ya mtu.

Cc: mahondaw
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
11,785
2,000
june 13.... mtoto bado bikra kabisa wew mbele na nyuma daaaah mwana smart una zali la mentali sijapata ona....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom