website

Ivi kwanini hizi kwaya bongo zisiungane zitengeneze website ambayo ingeuza kazi zao online? Twende na wakati mswala ya kununua nakala wenzangu na mie ni ishu kweli.
 
Lakini hili ni jukwaa la utani,jamaa anatania tu mbona wabongo wengi ni ma downloader tu,wana u tube na kushusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom