Website za Kizamani Tanzania!

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,569
19,442
Wakati Java language ilipokuwa ikikua miaka ya tisini na miaka ya 2000, news outles zikapata scripts zinazozuia watu wasikopi habari kutoka kwenye websites zao. Baadaye ikaonekana kuwa huo ulikuwa ni ujinga kwani kazi ya website ni kusambaza habari; ikabaki kuwa wao wawe wanahold copyright ya habari na iwapo utataka kuitumia habari hiyo basi utoe credit inayotakiwa. Leo hii duniani news outlets zote kubwa -BBC, CNN, NBC, CBS, New York Times, The Guardian hawatumii hizo scripts kwenye website zao. Lakini sasa nenda kwenye website za Tanzania kama Mwananchi, IPP Media, na nyingezo; utakuta hizo scripts bado ni active. Huwezi kulazimisha watu waje kwenye website yako kupata habari lakini unaweza kutumia mwanya wa kutanganzwa na wengine wakichukua habari kutoka kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom