Website ya wizara ya elimu ina tatizo gani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,321
Website ya wiazara ya elimu ninayoifahamu ni: www.moe.go.tz. Lakini hii website mara nyingi haifunguki na imegeuka kero sasa.

Swali ni je,wahusika hawalioni tatizo?

Au website hii imabadilishwa?

Wahusika shughulikieni hili tatizo.
 
Back
Top Bottom