Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,476
- 9,601
Wahusika ningeomba fuatilieni website yenu kwa ukaribu zaidi ili kuendana na wakati.Kuna some details hazipo valid ambapo hupelekea watalii waliopo nje kupata shida kujua uhalisia wa wanachokitafuta ikiwemo Park fees nk.Mkipanisha kodi mjue kwenda na wakati Pia.
Website anzieni hapa
The official site of the Tanzania National Parks - Latest news
Angalizo:na hii sio kwa TANAPA tu,kuna website nyingi za Serikali na taasisi zake zimekaa kizamani sana na hazina taarifa sahihi,na nyingine kupitwa na wakati,hii ni kuonyesha maafisa habari kutokuwa makini na wakuu wao kutokuzifungua webzite zao ili kujua contents zake kama zipo sawa na valid