Website ya Secretariat ya Ajiri kimeo

Wanaingiza data za waliofanya interview juzi.sasa watakuwa wanaizuia mpaka watakapomaliza kuingiza data ndo wanaachia.majina yenyewe mengi mno.mimi nashauri interview zenye watu wengi sana wawe wanatumia utaratibu wa bahati nasibu.wanaingiza namba za washiriki (wenye sifa) kwenye mtambo na kuu command uchague watu wanaohitajika randomly.
 
hilo nalo neno!
 
duh,wiki nzima wanaingiza tu,kwanza sithani!huwa wanaandaa majina katika PDF then wafanye attachment.
 
Kwanini website ya hawa jamaa haifunguki tangu majuzi?,naona hawa jamaa wanafanya mambo yao kienyeji sana.
 
hivi ikitokea nilikuwa nimeitwa kwenye usaili,na kwakuwa tovuti yao haifunguki kwahiyo sikuona jina langu,naweza kuchukua hatua yoyote juu yao?
 
ajira.PNG
Haya ndio nimeyakuta mchana huu wa saa Nane na nusu (14:30),Mungu tusaidie Oral isiwe kesho maaana yaweza kuwa watu wengi tukaumiaaaaaa
 
Back
Top Bottom