Website ya law school imebakwa?

mchakachuaji

Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
58
Points
0

mchakachuaji

Member
Joined Aug 12, 2010
58 0
Ni karibia wiki sasa ukifungua webiste ya Law school of Tanzania unakuta imebakwa (hacked) na maharamia wa mitandao. je wanalitambua hilo na wanajua la kufanya?. USIKUTE NI LAANA YA WANAOGRAGUATE LAW SCHOOL AMBAO wamekuwa wakionewa na kuharibiwa maisha yao kwa kupunjwa maksi; eti toka ianzishwe wanafanya mitihani wanafunzi 300kila intake lakini wanaofaulu hwajawahi kuzidi 35? there's something wrong with the teachers and the whole system! watch out!
 

Forum statistics

Threads 1,389,379
Members 527,914
Posts 34,024,027
Top