Website ya Iran Press TV yenye Propaganda na uzushi imefungiwa na Marekani ''Ban''

Unaeneza propaganda dhidi ya mtu fulani ilhali ukiwa katika himaya yake?

Wakati mwingine binadamu huwa tunajisahau sana!
 
Hivi hawa jamaa wanawezaje kufunga Domain isionekane dunia nzima??..Wataalam wa IT tuambieni.
Domains zote zilizosajiliwa kwa majina yanayoishia na .com, .net, .org n.k. zimesajiliwa Marekani kwa mujibu wa sheria.

Kampuni za usajili wa domains kama vile VeriSign nchini Marekani kwa mfano, imesajili websites zote zinazoishia na ".com". Kampuni hizi zinafuata sheria zilizowekwa na Marekani, na kwa kishirikiana na mashirika ya kisheria ya kimataifa, zina mamlaka ya kuzifungia websites ambazo zitakiuka sheria na taratibu.
 
Thanks mkuu.
 
Marekani anafinya uhuru wa habari , haya mambo wakifanya wenzake, utamuona anavyo lalamika
1995 unakumbuka Iran ilitaka kutufanya vibaraka wake? eti akipigwa na israel au marekani basi sisi nchi nzima tuandamane na kumlilia ! sasa unampendea nini huyo mpwaya pwaya !
 
mheshimu mmarekani na Israelis ili upate heri na miaka mingi duniani! muulize hugo chaves wa venezuela na castro wa Cuba, Qadafi na sadam Hussein utajua nini maana ya kukaidi amri hii ya kumi na moja!
 
1995 unakumbuka Iran ilitaka kutufanya vibaraka wake? eti akipigwa na israel au marekani basi sisi nchi nzima tuandamane na kumlilia ! sasa unampendea nini huyo mpwaya pwaya !
Iran alikuwa dhaifu kipindi hiko maana alitoka katika mapinduzi kabla hajajipanga Iraq akaanzisha vita kwa mda wa miaka 10 ndio ikaisha, huyu Iran wa sasa yuko imara sana ndio maana kila anaetaka madaraka Israel pale lazima turufu awe Iran
 
Back
Top Bottom