Website ya brella imepatwa na kwikwi gani?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Ndugu hii website ni siku ya pili haiko hewani. ni kwangu tu au wanafanya marekebisho.
 
Website yenyewe iko kama vile imetengenezwa mwaka 1987,hakuna watu wanaoiabisha nchi hii kama hawa mbwa wanaotengeneza websites za serikali
 
Back
Top Bottom