Nadhani you are refferring to "Search Engine Optimization"
Soma hii article itakupa 10 SEO techniques
Top 10 search engine optimization techniques | Dustin Brewer Web Design (CLICK)
Kuongezea tip mmoja ambayo ilinisaidia mimi.
- Dynamic Content :
Yaani website yako iwe hai. Uwe mwepesi wa ku-update content. Mimi niliweka kitu kinachoitwa RSS feeds. Niliweza kutumia RSS (pamoja na script nyingine) kuleta habari kutoka tovuti mbali mbali na kuziweka kwenye tovuti yangu.
Huu ujanja uliniwezesha kupandisha tovuti yangu juu kwenye google mpaka ikawa ya tatu kwenye search.
Ilinichukua miezi mitatu, so you should have patience.