Website mpya ya kuripoti wizi wa ardhi Tanzania

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Tunajua viongozi wetu wamekwisha anza kugawa ardhi kwa wawekezaji kama 'pipi'. Mikataba hii mingi inanuka rushwa! Nimeona Website unayoweza kutumia kuanika mikataba hii au matukio yote yanayosababisha watanzania kuwa wakimbizi kwenye nchi yao.Ripoti kero yako kwenye website hii:

http://magimbi.myblogsite.com
 
Kwanini iwe magimbi isiwe mihogo au viazi?
 
Back
Top Bottom