Website +Hosting +Domain kwa TZS 49000 tu kwa mwaka

S

SMARTWEBTZ-net

Member
Joined
May 28, 2017
Messages
59
Points
125
S

SMARTWEBTZ-net

Member
Joined May 28, 2017
59 125
Habari za wakati huu;

Limited time offer kwa wale ambao wanatamani kuwa na website il bajeti inawabana kuna ofa maalum kwa wakati maalum ambapo unajipatia website pamoja na domain name kwa mwaka mmoja kwa gharama ya TZS 49000 tu.Unajipatia:
  • Domain name moja.
  • Email address moja ya 200MB
  • Website ya Pages 5(About Us,Our Services,Our team,Our Clients na Contact Us
  • Hosting kwa Mwaka mmoja tu
Gharama ya vyote ni TZS 49000 tu na utarenew kwa gharama ya 65000.

Wote mnakaribishwa.Kwa mawasiliano tuma email sales@smartwebtz.tk
 
einstein newton

einstein newton

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
1,863
Points
2,000
einstein newton

einstein newton

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
1,863 2,000
Oya...kwa wenye website zao wenyewe inakua Bei gani?
 
Abuka

Abuka

Senior Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
130
Points
225
Abuka

Abuka

Senior Member
Joined Sep 17, 2013
130 225
Wewe unafanya hosting, na unatumia free domain???????? Seriously???? .to
 
S

SMARTWEBTZ-net

Member
Joined
May 28, 2017
Messages
59
Points
125
S

SMARTWEBTZ-net

Member
Joined May 28, 2017
59 125
Wewe unafanya hosting, na unatumia free domain???????? Seriously???? .to
Mkuu sio free domain ni new TLDS zinazohitaji promotion ndio maana zinatolewa bure kwa mwanzoni
 

Forum statistics

Threads 1,326,414
Members 509,499
Posts 32,221,180
Top