Website Designing: Jipatie website ya kampuni au taasisi na kulipia kwa awamu (kudunduliza)

Digitalx

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
211
Points
250

Digitalx

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
211 250
Tumekusudia kutoa ofa ya Website Bora na zenye tija ikiwa ni pamoja na vifurushi vya Hosting kwa wafanya biashara wapya au wale ambao wanafatilia taratibu za kisheria ili kufungua biashara zao kama ni kampuni au taasisi. Huduma hii itakupa wasaa wa kulipia taratibu malipo ya Website kwa awamu mpaka unakamilisha taratibu zako, halikadhalika kwa yule ambye anakipato kidogo itaweza kumsaidia kulipa kwa awamu na kuwepo mtandaoni.

Bilashaka, tunafahamu umuhimu wa Website katika masoko na nafasi yake katika biashara kwa mteja, hivyo tunakusihi isikupite nafasi hii ya muda maalumu ambapo utaweza kudunduliza.

Kwa muda maalumu tutakupa huduma hii bora kwa Tsh 500,000/= tu ambapo utaweza kulipia kwa awamu "Dunduliza" ndani ya muda wa miezi mitano (5). Tumetaja hatua ambazo utazipitia na huduma ambazo utazipata kwa kila hatua.

Hizi ni hatua za kudunduliza:

1. Hatua ya kwanza (Domain na Hosting) Tsh 50,000/=
Hapa tutakusajilia domain na hosting pamoja na kukupa email services kwa jina la kampuni yako mf. info@biashara.co.tz; huduma hii utatumia na itakusaidia kuwasiliana na wateja wako.

2. Hatua ya pili (Website Designing) Tsh 150,000/=
Hapa tutafanya usanifu wa website ikiwa online na utaweza kuiona wewe binafsi kabla ya kuiruhusu wateja na jamii kuiona; hii pia itakusaidia wewe ndugu mteja kuandaa vitu muhimu vya kuweka katika website na kukupa mda muafaka wa kufanya mambo vizuri.

3.Hatua ya tatu (Content Writing and Assembly) Tsh 100,000/=
Hatua hii tunaweka taarifa za kampuni ya mteja pamoja na picha katika website yake, halikadhalika muda huu mteja huwa tunamshauri na kupitia taaarifa zake ambazo anataka kuweka ikiwa ni pamoja na ushauri wa kitaalamu jinsi ya kuandaa taarifa za website yake.

4.Hatua ya nne (Testing, Review, and Launch) Tsh 100,000/=
Hatua hii tunafanya majaribio ya utendaji kazi wa website kama order form, contact form na vitendaji kazi vingine bila ya kusahau kukagua makosa ya kimaandishi, kama kuna makosa katika codes na yale ambayo yatapelekea website kushindwa kufanya kazi ipasavyo, kisha tunairuhusu.

5.Hatua ya tano ( Maintenance and SEO) Tsh 100,000/=
Kwa kawaida katika website na kitu cha msingi kufahamu ni kuwa website ni huduma, hivyo haipaswi kuwasilisha kazi ambayo ni mbovu kwa mteja na lazima tuhakikishe kila kitu kinakwenda sawia ikiwa ni pamoja kufanya maboresho ya mahitaji yake yote wakati inafanya kazi. Search Engine Optimization (SEO) hii ni hatua ya mwisho ambapo website tunaifanya iwe rahisi kufikika na mteja, na kuwa ni miongoni mwa orodha ya mbele wakatika inatafutwa mtandaoni kama katika Google, Bing na Yahoo.

Sifa za Website Utakayopata
*All Device responsive design
*content management system
*admin control with enquiry system
*social media integration
* Small Real Estates and E-commerce system
*Live chat
*Google analytics
*Domain -Free
*Hosting - Free
*Life time free support
*Business email
* Unlimited Pages
*Basic SEO

Wasiliana nasi:
Office: +255 712 450 136
Whats App: 0788 450 136
E-mail : info@microsafi.com
Microsafi Technologies Ltd
1st Floor, NHC Building, Plot No. 114/59 , Samora Road, Posta: P. O. Box 7064, Dar es Salaam, Tanzania
 
Digitalx

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
211
Points
250

Digitalx

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
211 250
1.Hatua ya kwanza (Domain na Hosting) Tsh 50,000/=

* Unlimited Pag
 
* Unlimited Pags
 
Forum statistics

Threads 1,364,609
Members 520,767
Posts 33,322,640
Top