Web developers na SEO optimizers msaada tafadhali

tzbee

Member
Jul 8, 2019
64
24
Naomba kufahamishwa, hivi website ikiwa Multi-language na Geolocation(mfano site ni www.mysite.com, akiifungua mtu alie burundi itafunguka katika lugha ya French na content za burundi, akifungua site hiyo hiyo mtu alie china itafunguka katika lugha ya kichina na content za china, nk.) Je, kwenye search engine itaonekanaje? na kwa lugha gani? Na je, site za namna hiyo zina shida kwenye search engines?

Shukrani.
 
Naomba kufahamishwa tafadhali, hivi website ikiwa Multi-language na Geolocation(mfano site ni www.mysite.com, akiifungua mtu alie burundi itafunguka katika lugha ya French na content za burundi, akiifungua mtu alie china site hiyo hiyo itafunguka katika lugha ya kichina na content za china, nk). Je, kwenye search engines site itaonekanaje na kwa lugha gani? na Je, site za namna hiyo zina shida kwenye search engines?

Shukrani.

international-seo.jpg
 
Hili linategemea na keyword.

Na pia ukiwa una tovuti inayotumia lugha zaidi ya moja, kwenye webserver utaweka directory ya kila lugha.Lakini pia kuna plugins kama unatumia wordpress

Mfano hiyo site yako www.mysite.com kwa kifarasansa itakuwa www.mysite.com/french, kama kiswahili address itakuwa www.mysite.com/swahili nk.

Na lugha ambayo unaipa kipaumbele utaicha iwe kwenye www.mysite.com

Chukulia mfano wa bbc ambayo inatumia lugha zaidi ya moja, kwa kutumia maneno yafuatayo inaleta matokeo toka domain ya www.bbc.com kwa lugha tofauti.

1. bbc swahili inaleta content za kiswahili
bbc swahili.PNG

Sasa kwenye link hapo ni https://www.bbc.com/swahili, inamaanisha kwenye webserver ya bbc kuna directory ya "swahili" ambapo content za kiswahili zinakuwa ndani ya hilo folder.

2. bbc arabic, inaleta taarifa za kiarabu
bbc arabic.PNG

Ukiangalia structure ya link haina tofauti na ya hapo juu.

3.bbc lugha ya kipaumbele ni kingereza kwa hiyo wanatumia www.bbc.com
bbc.PNG

Kwa hiyo kuwa na multiple languages haina tatizo, kwa kuwa unalenga watu kimaeneo utalazimika kufanya research ya maneno kwa kila lugha jinsi watumiaji wanavyotafuta taaarifa.

Na system nzuri itakayokusadia kwenye hili ni GOOGLE KEYWORD PLANNER

Je, kwenye search engine itaonekanaje
Kwenye search results itaonesha directory ambapo hiyo content ipo kama hiyo mifano ya juu unavyoiona.

Mfano kuna mtanzania anayetafuta taarifa za ujasaliamali. Anaweza kuandika "ujasiliamali tanzania" au "enteprenuership in tanzania"
hapo search crawlers itatafuta links zote ambazo zina hayo maneno.
 
Hili linategemea na keyword.

Na pia ukiwa una tovuti inayotumia lugha zaidi ya moja, kwenye webserver utaweka directory ya kila lugha.Lakini pia kuna plugins kama unatumia wordpress

Mfano hiyo site yako www.mysite.com kwa kifarasansa itakuwa www.mysite.com/french, kama kiswahili address itakuwa www.mysite.com/swahili nk.

Na lugha ambayo unaipa kipaumbele utaicha iwe kwenye www.mysite.com

Chukulia mfano wa bbc ambayo inatumia lugha zaidi ya moja, kwa kutumia maneno yafuatayo inaleta matokeo toka domain ya www.bbc.com kwa lugha tofauti.

1. bbc swahili inaleta content za kiswahili
View attachment 1151241

Sasa kwenye link hapo ni https://www.bbc.com/swahili, inamaanisha kwenye webserver ya bbc kuna directory ya "swahili" ambapo content za kiswahili zinakuwa ndani ya hilo folder.

2. bbc arabic, inaleta taarifa za kiarabu
View attachment 1151240
Ukiangalia structure ya link haina tofauti na ya hapo juu.

3.bbc lugha ya kipaumbele ni kingereza kwa hiyo wanatumia www.bbc.com
View attachment 1151242

Kwa hiyo kuwa na multiple languages haina tatizo, kwa kuwa unalenga watu kimaeneo utalazimika kufanya research ya maneno kwa kila lugha jinsi watumiaji wanavyotafuta taaarifa.

Na system nzuri itakayokusadia kwenye hili ni GOOGLE KEYWORD PLANNER

Kwenye search results itaonesha directory ambapo hiyo content ipo kama hiyo mifano ya juu unavyoiona.

Mfano kuna mtanzania anayetafuta taarifa za ujasaliamali. Anaweza kuandika "ujasiliamali tanzania" au "enteprenuership in tanzania"
hapo search crawlers itatafuta links zote ambazo zina hayo maneno.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wenye mifano
 
Naomba kufahamishwa tafadhali, hivi website ikiwa Multi-language na Geolocation(mfano site ni www.mysite.com, akiifungua mtu alie burundi itafunguka katika lugha ya French na content za burundi, akiifungua mtu alie china site hiyo hiyo itafunguka katika lugha ya kichina na content za china, nk). Je, kwenye search engines site itaonekanaje na kwa lugha gani? na Je, site za namna hiyo zina shida kwenye search engines?
Shukrani.
View attachment 1151093

Mkuu iko hivi. Majibu yoyote yanayotokea pale kwenye google search huwa yanakuja kwa lugha ambayo mtu ameset. Mfano mzuri ni kwamba ukisearch kwa google.co.tz utaletewa maudhui ya kiswahili by default, na pia zle websites ambazo zko multilingual nazo zitadisplay kwa lugha ambayo mtumiaji kaset kwenye google search. Lkn kwa websites ambazo sio multilingual basi zitabaki hivohivo na contents zake katika lugha ilimoandikiwa unless mtumiaji awe ameset auto translate. Na ndio maana ukienda chini kabisa kwenye google search utakutana na sehemu ya kubadilisha lugha au kama ukisearch huku lugha yako ni swahili zle results zikija na kama nying ni za kiingereza basi utapewa notification kwamba "GOOGLE IS ALSO AVAILABLE IN ENGLISH"

SO kutokana na swali lako kama website yako ni multilingual basi mtumiaji wa google search ataona katika lugha ambayo ameset au imesetiwa by default(mfano kama mtu atatumia google.co.tz basi kiswahili ndo default)

Kwa search engines nyingine sijafahamu bado inakuaje ila nadhan itakua ni hivohivo kama google
 
Kwenye settings kuna lang by ip. Na scripts za kuibadilisha automatically kutokana na Location yako. Kwahiyo, if all the pages are indexed. Basi zitapata nafasi tokana na searched terms/keywords.
 
Back
Top Bottom