Web developers na Search Engine Optimizers msaada tafadhali

tzbee

tzbee

Member
Joined
Jul 8, 2019
Messages
51
Points
95
tzbee

tzbee

Member
Joined Jul 8, 2019
51 95
Naomba kufahamishwa tafadhali, hivi website ikiwa Multi-language na Geolocation(mfano site ni www.mysite.com, akiifungua mtu alie burundi itafunguka katika lugha ya French na content za burundi, akiifungua mtu alie china site hiyo hiyo itafunguka katika lugha ya kichina na content za china, nk). Je, kwenye search engines site itaonekanaje na kwa lugha gani? na Je, site za namna hiyo zina shida kwenye search engines?

Shukrani.

international-seo-jpg.1151093
 
thewajibu

thewajibu

Senior Member
Joined
Jan 14, 2017
Messages
184
Points
250
thewajibu

thewajibu

Senior Member
Joined Jan 14, 2017
184 250
Mkuu ungeenda google ingekuwa rahisi sana
 
kali linux

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Messages
539
Points
1,000
kali linux

kali linux

JF-Expert Member
Joined May 21, 2017
539 1,000
Naomba kufahamishwa tafadhali, hivi website ikiwa Multi-language na Geolocation(mfano site ni www.mysite.com, akiifungua mtu alie burundi itafunguka katika lugha ya French na content za burundi, akiifungua mtu alie china site hiyo hiyo itafunguka katika lugha ya kichina na content za china, nk). Je, kwenye search engines site itaonekanaje na kwa lugha gani? na Je, site za namna hiyo zina shida kwenye search engines?
Shukrani.
View attachment 1151093
Mkuu iko hivi. Majibu yoyote yanayotokea pale kwenye google search huwa yanakuja kwa lugha ambayo mtu ameset. Mfano mzuri ni kwamba ukisearch kwa google.co.tz utaletewa maudhui ya kiswahili by default, na pia zle websites ambazo zko multilingual nazo zitadisplay kwa lugha ambayo mtumiaji kaset kwenye google search. Lkn kwa websites ambazo sio multilingual basi zitabaki hivohivo na contents zake katika lugha ilimoandikiwa unless mtumiaji awe ameset auto translate. Na ndio maana ukienda chini kabisa kwenye google search utakutana na sehemu ya kubadilisha lugha au kama ukisearch huku lugha yako ni swahili zle results zikija na kama nying ni za kiingereza basi utapewa notification kwamba "GOOGLE IS ALSO AVAILABLE IN ENGLISH"

SO kutokana na swali lako kama website yako ni multilingual basi mtumiaji wa google search ataona katika lugha ambayo ameset au imesetiwa by default(mfano kama mtu atatumia google.co.tz basi kiswahili ndo default)

Kwa search engines nyingine sijafahamu bado inakuaje ila nadhan itakua ni hivohivo kama google
 
Forum statistics

Threads 1,314,987
Members 505,127
Posts 31,844,566
Top