Web developers let's change Tanzania's government web applications look and feel!

Tukiwapa deal za kututengenezea website za vikampuni vyetu uchwara mnatupa bei utadhani mnafanya kazi na ubalozi wa marekani wa kampuni kubwa duniani .

Watu wa IT mnajifelisha padogo sana. Mnajisahaulisha kuwa matumizi ya website kiabishara n jambo geni tanzania na linatakiwa kujengewa mazoea kwa ninyi kuhakikisha mnawatengenezea wafanyabiashara wa tz website kwa urahisi na bei rafiki na kuzidevelop.

Ila sasa huwa mnakuwa na mapozi balaa kwa kuleta bei za ajabu sana. Kuna vijana walikataa kunitengenezea website kwa bei ya laki 3. Na wapo vizuri balaa kwenye ubunifu wa website. Ila kazi zao wanatoza kuanzia laki 8.

Juzi kati nakutana na m'moja wao ananiuliza kama nilitengeneza website, nikamwambia hapana. Akanambia nimpe down payment ya laki 6 kisha nyingine nitalipa kidogo kidogo.

Nikamwambia kazi zinaenda natumia social media na network kwa sasa, website sina haraka nayo. Nikamuacha na midomo yake iliyokaukiwa kwa ukame wa pesa pale.

Sasa leo mnataka mjipendekeze serikalini tena muwafanyie kazi free.....

Ama kweli nimeamini........
Mh chief umesoma na kuelewa jamaa nini kamanisha
 
Mh chief umesoma na kuelewa jamaa nini kamanisha
Nimemuelewa vema. Hoja yangu au huo mchango wangu ulilenga kumwambia namna watu wa IT especially designer wa websites kuwa na majivuno na kuleta ulanguzi wa Bei ile hali tasnia yao bado ni changa kwa hapa bongo.

So hapa nilikuwa natema cheche kuhusu tabia zao za kuwa na mapozi katika kukubali kufanya kazi kwa bei rafiki ili tu iwe rahisi kwa wao kujenga platform yao na kukuza tasinia yao kwa hapa bongo badala ya hivi kutaka kujenga jina kwa kuomba kufanya kazi za bure na taasisi kubwa kwa malengo ya kuja kupewa tenda kubwa baadae.
 
Halafu wengi wenu huwa hamueleweki, niwasumbufu
Usumbufu wa aina gani na wewe ndio designer?! Mteja amekuja si umpe sampo achague inayompendeza mpe bei, negotiate nae kisha mruhusu afanye down payment kisha kazi ianze.....

Hayo maneno mengi yanatokea wapi sasa hapo ....?!
 
Inategemea na kazi boss. Mtu kma unataka custom website, built from scratch na integration za mambo mengi kma payment systems, subscription, email management, database, nk basi laki 3 ni hela ndogo sana.

Ila kma unataka website simple tu kwa kutumia templates toka wordpress, wix, nk basi hyo hela ni sawa. Siku zote vitu vizuri ni gharama. Na kma website simple na ni static website basi hata wewe mwenyewe unaweza set up kwa kuangalia tutorial chache tu YouTube.

Ukitaka website iwe coded hapo hela ndefu.
Ya template mzee..... Hizi za special customization najua zina gharimu namna itasukwa.

Sasa mtu ana download template, anataka akuchaji hela kama yy ndio mvumbuzi wa website.....
 
Tena hyo laki nane kwa complex website bado ni pesa ndogo sana ila weng wanadharau sana fani na ujuz wa mtu unakuta mtu huyo huyo lets say ni structural engineer ukimwambia nijengee (Gharama ya ufund tu ) kwa punguzo kabisa atakwambia nenda kawachukue mafundi mtaan kisa yy ni Engineer sasa kwann IT professional asitetee Fani yake?.
Kama unaoana pesa ndogo kwa complex website nenda online kamtafute Professional wa majuu uone mziki wake
Sasa bei nazo ziwe realistic sio bei za kubashiri. Hivi unajua namna ya kuprice boss?!

Unaweza kuwa ni mtaalamu wa IT but u know very little kuhusu marketing na elements zake price ikiwamo mojawapo. Price ni lugha kati ya mnunuzi na muuzaji. Ukiona wewe unataja bei ambayo inafukuza watu and u have a very good service au product don't assume u are special..... U have a problem and u should address it on time.....

Sawa ndugu yangu?!

Sasa nikikuuliza hapa Tanzania ni kampuni ngapi zinatumia website kukusanya traffic ya audience ya wateja zinaweza kufika hata 100?! Then thats clearly says kuna problem kwenye tasnia ya wana IT wa bongo. U are not listening to the market elements.....

Ninyi mnatakiwa kupambana tasinia yenu itumike almost everywhere,vitu kama website iwe ni very simple offer kwa wateja tuwe wengi ili nyingi muwe na nguvu hata ya kudevelop website zetu wateja na kukuza tasinia.

Hamjajifunza makampuni ya simu za mikononi walikuwa wanadharau sana na bei zao. Vocha ya chini ni 2000 kipindi hicho, no vifurushi no chochote.

Uliona alipokuja tigo,si akaonekana fala kuweka vifurushi....leo kuna kampuni inafunga hesabu kushinda tigo?! Kuna kampuni yenye wateja wengi kuishinda tigo?!

So hapa me nawapeni lesson kuwa sometimes its not about how good you are its about understanding your customer's level of acceptance........

Kuzeni tasinia yenu kwanza iwe popular kwa raia ndipo mtapata platform active...
 
Nimemuelewa vema. Hoja yangu au huo mchango wangu ulilenga kumwambia namna watu wa IT especially designer wa websites kuwa na majivuno na kuleta ulanguzi wa Bei ile hali tasnia yao bado ni changa kwa hapa bongo.

So hapa nilikuwa natema cheche kuhusu tabia zao za kuwa na mapozi katika kukubali kufanya kazi kwa bei rafiki ili tu iwe rahisi kwa wao kujenga platform yao na kukuza tasinia yao kwa hapa bongo badala ya hivi kutaka kujenga jina kwa kuomba kufanya kazi za bure na taasisi kubwa kwa malengo ya kuja kupewa tenda kubwa baadae.
Kwani Boss umefanya kazi na watu wangapi hasa? Ila watakuwa wamekusikia na wamekuelewa!
 
haya we unaejua tufanye umeshinda
Sio swala la kushinda ni swala la kuwa sahihi.

Unajua utamaduni wa kukinza hoja au taarifa ya mwingine kwa kigezo cha kutafuta ushindi bila taarifa kamili au sahihi inajenga kizazi cha watu wauaji na wazembe kujifunza na mwisho inakuwa ngumu kujenga hoja na hata nyakati za mijadala inayogusa mambo muhimu.
 
kitambo sana Joe Thomas
nakumbuka ile ngoma ya "I'm missing you" kitamboo icho Channel Ten
 
Nimemuelewa vema. Hoja yangu au huo mchango wangu ulilenga kumwambia namna watu wa IT especially designer wa websites kuwa na majivuno na kuleta ulanguzi wa Bei ile hali tasnia yao bado ni changa kwa hapa bongo.

So hapa nilikuwa natema cheche kuhusu tabia zao za kuwa na mapozi katika kukubali kufanya kazi kwa bei rafiki ili tu iwe rahisi kwa wao kujenga platform yao na kukuza tasinia yao kwa hapa bongo badala ya hivi kutaka kujenga jina kwa kuomba kufanya kazi za bure na taasisi kubwa kwa malengo ya kuja kupewa tenda kubwa baadae.
Noted
 
Back
Top Bottom