WeakLeaks Wazusha: Steve Jobs Alikufa Kwa Ngoma

Kwani yeye ni hata asiweze kufa kwa ukimwi.!!? Ngoma haichagui tajiri wala masikini.!
 
Unajua AIDS kuja kukuu lazimi ishambulie vitu vikuu mwilini mwako kwahiyo ni sawa

either ini, figo, moyo nk - this Man Changed Technology... changed Media... It was said he was not very pleasant Man a very difficult Man to deal with
 
SPJ died of pancreatic cancer that he battled almost for a decade.

Wakuu kumbe Wikileaks ni wazushi? Miezi kama miwili hivi hawa wikileaks "WALIZUSHA" kuwa JK alinunuliwa suti tano nasi tukaipokea hiyo habari kwa mikono miwili. Hata Msemaji wa Ikulu alipokanusha tuling'ang'ania humu ndani kwamba JK kauza nchi kwa vipande vya suti. Lakini leo tunasema ni wazushi baada ya kusema kuwa SPJ alikufa kwa ngoma. Duh humu JF kuna kaaazi kwelikweli!!

NAomba nisaidiwe tu: WIKILEAKS NI WAZUSHI AMA SI WAZUSHI?
 
bottomline jamaa alikuwa hana furaha....

alpha male syndrome....alikuwa nayo....kutokuwa na furaha kulimsababishia matatizo ya afya....yaliyopelekea kifo....

pamoja na akili zote na pesa tele.....

pengine ange reconcile na his biological father ingemsaidia.....
 
Jamani, hivi uzushi upo wapi? Mi nilichoona ni kuwa WK waliamua kwua na their humorous way of honouring Steve na imeshaelezwa kwua hiyo medical record certificate ni fake. Au labda sielewi kimombo vizuri?.
 
SPJ died of pancreatic cancer that he battled almost for a decade.
Sijui chanzo chako, lakini mbona Wall Street Journal wao hawajui kilichomuua? Wana taarifa za kilichomsumbua siku za nyuma tu.

``The company didn't specify the cause of death. Mr. Jobs had battled pancreatic cancer and several years ago received a liver transplant.
``

Read more: Steve Jobs, Apple Co-Founder, Is Dead - WSJ.com

steve_jobs.jpg
th21-630-yahoo-steve-jobs-and-wife-credit_Lea-Suzuki_San-Francisco-Chronicle_Corbis.jpg
c1main.steve.jobs.01.gi.jpg

Ni magonjwa mengi yanayoweza kumdoofisha mtu hadi kufikia kukonda, ila kwa haters hawatakosa la kusema ili kumchafua mtu.

Wikileaks si wazushi, ila wanakopata hizo information ndio wazushi. Wao ni kupekua documents na kuzianika hadharani ndio maana wanaweka na evidence au source wanakopata habari hizo. Ni mtandao wa kiintelijensia na kijasusi. Kulaumu tu na kupinga tu wakati wana documental proof haina uzito. Kama Jobs alionekana kuwa na dalili za HIV positive si kigezo cha kwamba kafa kwa kale kaugonjwa, bali mtu mzito akifa vymbo vingi vya habari vitachakarika kila kona kupata habari na kuzimwaga hadharani, sababu yake ni biashara.
 
Mkuu kwa hizo picha hapa TZ madaktari macho wangeisha conclude kwamba ni ngoma. wani alikuwa na HIV?
 
kwa pesa alizokuwa nazo
ukimwi angeweza kuuu dhibiti.....na latest scientific medicines money can buy...

cancer ndio inayowasumbua matajiri....
 
Sijui chanzo chako, lakini mbona Wall Street Journal wao hawajui kilichomuua? Wana taarifa za kilichomsumbua siku za nyuma tu.

``The company didn't specify the cause of death. Mr. Jobs had battled pancreatic cancer and several years ago received a liver transplant.
``

Read more: Steve Jobs, Apple Co-Founder, Is Dead - WSJ.com

Doctors claimed that it is likely SPJ died of a rare form of cancer...

Doctors say cancer likely killed Steve Jobs - Yahoo! News
Doctors say cancer likely killed Steve Jobs - Health - Cancer - msnbc.com
The Pancreatic Cancer That Killed Steve Jobs - - TIME Healthland
 
Acheni uzushi wenu, steve alisumbuliwa na kansa kwa mda mrefu sana, na siku kagundulika 2 days after alitoa taarifa juu ya ugonjwa wake, wale wazungu brother ka ukimwi dk angesema!there is a big difference btn africa and the rest of the world!
 
semeni yote lakini mwisho wa cku kila nafsi itaonja mauti cha ajabu ni nn? aijalishi kafa na nn lakini ameshatimiza wajibu wake
 
I don't have any Apple product in my possession but i know they have the best music player devices ,the guy was smart,if He died for HIV or what u called pancreatic cancer but the World has lost a genius brain..may be some days the price will be affordable and i will enjoy having one their products kama ile ya Zitto kabwe sijui inaitwa iPad..
 
Wikileaks Honors Steve Jobs with Fake HIV Report

tutasikia mengi.

rest in peace SJ.

nikipata nauli nitakuenzi kwa kununua ipad mjomba steve.

Kufa kwa HIV au Cancer au moto, au maji..... hakumfanyi mtu kuwa kafa vizuri. Kufa ni kufa tu. Sawa na kuzikwa kifahari au kuliwa na mamba au kupotea msituni au vyovyote vile...... kufa ni kufa tu! Kafa kweli na hatarudi regardless the cause of death. Afile, afile!
 
Back
Top Bottom