Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,643
- 1,786
Wapi paliposemwa saratani ndio sababu ya kifo? Hilo neno "likely" lina kazi yake hapo ndugu, waandishi hao si wajinga kuliweka kila mahala.Doctors claimed that it is likely SPJ died of a rare form of cancer...
Doctors say cancer likely killed Steve Jobs - Yahoo! News
Doctors say cancer likely killed Steve Jobs - Health - Cancer - msnbc.com
Apple hawakutangaza sababu ya kifo . Tunachojua ni kwamba Steve Jobs aliugua saratani ya kongosho na kubadilishwa ini nyakati za nyuma. Zaidi ya hapo haijulikani, inaweza kuwa chochote.