We need to set S.M.A.R.T analysis to the New Cabinet ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We need to set S.M.A.R.T analysis to the New Cabinet ya JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mstahiki, Feb 13, 2008.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Forum hii imeweza kuchambua kwa kina sana Cabinet Mpya ya Mheshimiwa Rais..Nnawaomba tuchukue hatuwa kubwa kama wa penda maendeleo kwa kufanya mambo kimaendeleo.

  Nawaomba tu set standards na Goals ambazo ni Specific, Measurable, Attainable(Achievable), Realistic(Results-oriented), Tangible(Timely)

  S.M.A.R.T Analysis itakuwa ni kioo kizuri kwa waheshimiwa na hata sisi Wadau wa JF...Ila Tukianza kusema huyu kafanya nini bila kuwa na specific standards mijadala yetu haitakuwa na mafanikio.

  Naomba kupendekeza kuifanya hii iwe "Sticky" Thread
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,581
  Trophy Points: 280
  Cabinet hii bado ina mafisadi na watu ambao hawastahili kuwa kupewa hata ukatibu tarafa, hawa Ghasia pia kuna wasema uongo Chiligati (CCm ndio iliyoibua uozo wa BoT na kashfa ya Richmon)

  Kuwa na watu hao katika baraza la mawaziri tayari ni picha tosha kwamba halitakuwa na mafanikio yeyote, kama yatakuwapo basi ni finyu sana. I may be wrong, but I doubt it.
   
 3. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bubu,

  Naomba uitazame kwa mtazamo tofauti kidogo,Kwamba hawa jamaa wapo kwenye uskani...Put a S.M.A.R.T Goal and see what is going to happen..
   
 4. Sabasaba

  Sabasaba Member

  #4
  Feb 13, 2008
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 88
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Nawaomba tu set standards na Goals ambazo ni Specific, Measurable, Attainable(Achievable), Realistic(Results-oriented), Tangible(Timely)

  S.M.A.R.T Analysis itakuwa ni kioo kizuri kwa waheshimiwa na hata sisi Wadau wa JF...Ila Tukianza kusema huyu kafanya nini bila kuwa na specific standards mijadala yetu haitakuwa na mafanikio.

  Support 100%, hupaswi lalamika kwa kila kitu, bila SMART analysis , vinginivyo itaishia kuwa personal attacks, watu wachambuliwe kwa utendaji kazi wao na achievements, itasaidia sana kutokea mwelekeo wa watanzania wanataka nini

  BIG UPS JF
   
Loading...