Uchaguzi 2020 We need a President who will restore Law, Order and Constitutional Rights

And who is the custodian of "the truth"?
Desposyni is a name given to the blood-relatives of Jesus through His mother, Mary. They are believed by some to have had a large part in the leadership of the Church in its formative years up through the 4th century, at which time references to the Desposyni seem to have disappeared. Many attribute this to violent persecution against Jewish Christians, Desposyni in particular. There are some who believe that Jesus Christ married Mary Magdalene and had children with her, whom are also called Desposyni. It is believed that this dynasty exists yet today and has played a large role in world government and religious leadership.
Amazon product ASIN 1578633230
 
Kuwa na kiongozi asiyefuata sheria na katiba ni hatari sana .
Kweli kabisa! Nadhani wananchi wanahitaji kiongozi wa namna hiyo! Wananchi wamechoshwa na ukandamizaji bila shaka. Tukimaliza haya tuendelee kujenga nchi chini ya misingi ya katiba na malengo ya Taifa letu pendwa.
 
Desposyni is a name given to the blood-relatives of Jesus through His mother, Mary. They are believed by some to have had a large part in the leadership of the Church in its formative years up through the 4th century, at which time references to the Desposyni seem to have disappeared. Many attribute this to violent persecution against Jewish Christians, Desposyni in particular. There are some who believe that Jesus Christ married Mary Magdalene and had children with her, whom are also called Desposyni. It is believed that this dynasty exists yet today and has played a large role in world government and religious leadership.
Amazon product ASIN 1578633230
Keep on believing everything that is written in English.
 
However, claims that Jesus married Mary Magdalene and had children with her are clearly untrue, and should be immediately discounted. Nowhere in Scripture is it stated that Jesus took a wife, let alone that it was Mary Magdalene.
 
Wanajamvi,

Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumtafuta, na kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao hayo ya kitaifa.

Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hata hivyo, lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi ya kuelekea huko.

Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo, ukiuliza ama kuhoji, basi unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo, unayeshirikiana na mebeberu nk.

Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa katiba na sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi!

Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa! Sababu kubwa haswa ni kuminywa kwa uhuru wao, na pia kujichagulia viongozi wanaowataka...hata tume huru ya uchaguzi, ni kilio kinachoambatana na madai hayo ya wananchi walio wengi! Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha utawala wa katiba, haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi wa Taifa letu pendwa!

...Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya kutoka kwa wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!

Kiongozi ambaye atasikiliza vilio vya wananchi kuhusu utawala unaofuata sheria na katiba, pamoja na matamanio ya kupata tume huru ya uchaguzi.

Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.

Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, si wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya wenzetu, na si vurugu mechi!

Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!

Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama! Lakini hali iliyopo ni ya tofauti kabisa! Ubaguzi na upendeleo kwa baadhi ya wananchi kulingana na mitazamo ya kisiasa ni kinyume cha katiba ya nchi!

Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”

“In matters of truth and justice, there is no difference between large and small problems, for issues concerning the treatment of people are all the same”.

Albert Einstein
Lets get rid of big goverment altogether!

Serikali kazi yake iwe ni kutoa ulinzi kwa raia wake kutoka adui wa ndani na nje,na kuhakikisha rules of the game are obeyed by all including government itself.

Katiba i-limit powers za government,executive na parliament,maana wote ni group la wanadamu wenye tamaa kama the rest of us na wapo pale ku-discuss na kuamua things ambavyo wao nao wana conflict of interest,watajipendelea.

Government ni parasite,running on innocent citizens' sweat,na wanayoindesha ni evil people!

Haiwezekani group la watu wachache mostly dumbest people,waaamue unilaterally how the rest of us should conduct our lives na kutuadhibu wanavyoona wao.

Give us our personal liberties,leave us with full autonomy to conduct our businesses and accumulate wealth as much as one could possibly can within the law and get out the way!
 
Kama mtu kama wewe asubuhi hadi jioni unalialia mtandaoni, wale wajinga flani wanwazamaandamano, kuvunja sheria,na kukesha majukwaani wakigomesha wananchi na kuacha kufanya kazi za kujenga taifa,lini tutafikia uchumi wakati. Mabosi wangu jitahidini kuacha siasa muda huu wa kazi hadi 2020 tutakapokuwa kwenye ngwe ingine kumtafuta rais mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi nchi gani ndg, mbona 2020 ni hii?? MaCCM wanafanya mikutano ya kisiasa kila leo!!
Kufanya mikutano na kuandamana kupinga jambo ni halali kikatiba na kisheria!!
Kuzuia hizo harakati ni kuvunja katiba na sheria za nchi, huo ndo udektaita wenyewe!!
Hakuna tofauti na kina Hitler na Musolini na Peak Bhotha walivyofanya!!
Walijenga viwanda na uchumi lakini wananchi hawakuwa huru!!
Umeelewa??
 
Wanajamvi,

Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumtafuta, na kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao hayo ya kitaifa.

Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hata hivyo, lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi ya kuelekea huko.

Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo, ukiuliza ama kuhoji, basi unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo, unayeshirikiana na mebeberu nk.

Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa katiba na sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi!

Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa! Sababu kubwa haswa ni kuminywa kwa uhuru wao, na pia kujichagulia viongozi wanaowataka...hata tume huru ya uchaguzi, ni kilio kinachoambatana na madai hayo ya wananchi walio wengi! Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha utawala wa katiba, haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi wa Taifa letu pendwa!

...Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya kutoka kwa wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!

Kiongozi ambaye atasikiliza vilio vya wananchi kuhusu utawala unaofuata sheria na katiba, pamoja na matamanio ya kupata tume huru ya uchaguzi.

Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.

Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, si wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya wenzetu, na si vurugu mechi!

Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!

Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama! Lakini hali iliyopo ni ya tofauti kabisa! Ubaguzi na upendeleo kwa baadhi ya wananchi kulingana na mitazamo ya kisiasa ni kinyume cha katiba ya nchi!

Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”

“In matters of truth and justice, there is no difference between large and small problems, for issues concerning the treatment of people are all the same”.

Albert Einstein
We need to live in peace and harmony
 
Lets get rid of big goverment altogether!

Serikali kazi yake iwe ni kutoa ulinzi kwa raia wake kutoka adui wa ndani na nje,na kuhakikisha rules of the game are obeyed by all including government itself.

Katiba i-limit powers za government,executive na parliament,maana wote ni group la wanadamu wenye tamaa kama the rest of us na wapo pale ku-discuss na kuamua things ambavyo wao nao wana conflict of interest,watajipendelea.

Government ni parasite,running on innocent citizens' sweat,na wanayoindesha ni evil people!

Haiwezekani group la watu wachache mostly dumbest people,waaamue unilaterally how the rest of us should conduct our lives na kutuadhibu wanavyoona wao.

Give us our personal liberties,leave us with full autonomy to conduct our businesses and accumulate wealth as much as one could possibly can within the law and get out the way!
Thats true my dear, well said but the end justfies the means, stand up for your
rights!!
Kila kona especialy for those uninformed citizens to get the knowledge and understanding of our wrights!!
We are not slaves in our own countly, this nation Tz is free.
Cantagoras laws and orders are beslaving us in our beloved state!!
We need some one to put things in order, that is no one else but Tundu Lissu the lawyer!!
 
Lets get rid of big goverment altogether!

Serikali kazi yake iwe ni kutoa ulinzi kwa raia wake kutoka adui wa ndani na nje,na kuhakikisha rules of the game are obeyed by all including government itself.

Katiba i-limit powers za government,executive na parliament,maana wote ni group la wanadamu wenye tamaa kama the rest of us na wapo pale ku-discuss na kuamua things ambavyo wao nao wana conflict of interest,watajipendelea.

Government ni parasite,running on innocent citizens' sweat,na wanayoindesha ni evil people!

Haiwezekani group la watu wachache mostly dumbest people,waaamue unilaterally how the rest of us should conduct our lives na kutuadhibu wanavyoona wao.

Give us our personal liberties,leave us with full autonomy to conduct our businesses and accumulate wealth as much as one could possibly can within the law and get out the way!
I second this one. Lakini je hatua ya kwanza ni tume huru au? Kwasababu sasahivi hata uhuru wa kufanya siasa haupo. Ni kwa ccm peke yake. Hata kampeni wao walishaanza kitambo tu toka upinzani ulipofungiwa. Na ilianzia kwa bunge live kupigwa pini.
 
Lissu ndio better .
Magu ni mtu mwema na anaweza ila kuendelea naogopa very sorry.
Unawakilisha maoni ya wananchi walio wengi! Lakini hapo mwisho pia umeonyesha uoga wa wananchi walio wengi. Jambo ambalo siyo zuri hata kidogo kwenye Taifa huru lenye kufuata katiba na haki za wananchi wake.
 
Back
Top Bottom