We muzee, unamdanganya nini mama wa watu...

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
96.jpg
 
Umaskini, Usanii, fani Za maigizo , mbwembwe Na mengineyo ya kutuzogoa, kutung'ong'a Asanteni sana CCM.. Tukutane soon Kwenye sanduku la kura maana hiyo 2015 HAMFIKI..!
 
Inauma sana. Hela ya shangingi inatoka kwenye hela ya huyo mama na jembe lake. mikono inasema sina kitu cha kukupa. Mungu tusaidie kuona njia zako
 
inauma sana. Hela ya shangingi inatoka kwenye hela ya huyo mama na jembe lake. mikono inasema sina kitu cha kukupa. Mungu tusaidie kuona njia zako

sijui anaona ugumu gani kumpa hela ya mboga huyo mama japo apate mlo wa siku
 
Hakika nchii hii mwenye shibe hamjui mwenye njaa,kweli kabisaaa anamdanganya huyo bibi kuwa hana hata mia(bati)...Lol!watu hawa
 
mama WA watu kajinywea mnazi wake mwenye halafu huyo Bwana Ndovu anamzingua.....angen uta "biology" zake atie akili
 
Back
Top Bottom