We must do this in order for Tanzanian education to improve.

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
1. Address teacher shortages;

2. Raise the entry qualification and salary for the teaching profession;

3. Stop disturbing the curriculum immediately/if we are honest with ourselves, we have inconsistent curriculum so far; we have leo ondoa somo hili kesho ingiza lile nk

4. Address the lack of books in our schools;

5. Establish science laboratories in all secondary schools;

6. Agriculture, Business, and ICT subjects, like Math, should be made mandatory at the primary and secondary levels up to Form 3;

7. School inspections must be revitalized and made more serious;

8. Address the issue of teacher motivation cum incentives;

9. Give pupils enough attention on participating in sports...
 
Safi sana mkuu, tatizo wengi wanasifia serikali inapojenga madarasa, kuweka madawati, na maabara huku hamna vifaa, hakuna competent teachers, hakuna motisha then wanadhani wamemaliza suala la Elimu!!

Bora shuleni waende watu elfu 1 tu ila wapate quality education kuliko kujisifia watoto mamilion kujiandikisha darasa la kwanza huku wanamaliza la Saba hawajui kusoma na kuandika!!
 
Langu kubwa taaluma ya ualimu ithaminiwe...walimu waongezezwe masurufu...maabara zijazwe vifaa vya kisasa...TEHAMA na Kilimo iwe lazima
 
Ukipima mafanikio ya mfumo wetu wa elimu kwa jicho la ufaulu, itakupelekea kusaka kuongeza ufaulu. Ambapo suluhu takuwa ni kama unayopendekeza ya kuongeza walimu n.k. Ukiangalia kwa undani zaidi, ukajiuliza wanapoishia wachache wanaofaulu pamoja na changamoto zilizopo, ni dhahiri kwamba hata wakifaulu wote na kufikia level za juu kabisa za vyuo, bado kuna tatizo la msingi hujatatua. Unayopendekeza Yana umuhimu, lakini cha muhimu zaidi ni mapinduzi ya kweli ya nini wanasoma, kwa namna gani, ili kufikia malengo gani.
 
Muhimu vyuo vya ualimu vidahili the finest students...na mishahara ya ualimu iwe minono vijana wavutiwe kwenda ualimu...hali ilivyo sasa wenye ufaulu 3rd grade ndio wanadahiliwa kwenye vyuo vya ualimu kuwa walimu...huwezi kujenga taifa lenye wasomi wazuri kama wanafundishwa na walimu wenye kiwango cha chini.

Waliosoma zamani watakwambia huo ukweli...mwalimu kapata division 3 anakwenda kufundisha mtoto vipaji maalum wenye division 1 kv Ilboru sio sawa...mishahara ya walimu ipande na posho ziwe nene...pia anaefanya ualimu at least awe na ufaulu mwisho division II
 
Back
Top Bottom