Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,553
- 112,493
.............
Wawaza ungese, ovyoooLegeza kidogo Magufuli, vijana wanahaha.
Watanisaidiaje sasa teh
Haya ngoja nibaki na upuuzi wanguMambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu"
Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema
Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)
Legeza kidogo Magufuli, vijana wanahaha.
Sio wewe banaHabarii Mchepuko wangu Evie..
Ni mimi naomba unipm
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu"
Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema
Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)
Mambo sweet, i miss u....simtafuti kwa ubaya baby wanguNa mimi mumeo nipo hapa. Akija, mje naye.
Sina shoga angu
Duh,hadi na matusi iko kwa jukwaa ya jfMambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu"
Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema
Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)
Mambo sweet, i miss u....simtafuti kwa ubaya baby wangu