We mkaka nakutafuta ila nimesahau Id yako.

Mambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu"

Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema

Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)
Haya ngoja nibaki na upuuzi wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarii Mchepuko wangu Evie..
Ni mimi naomba unipm

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu"

Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema

Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)

Na mimi mumeo nipo hapa. Akija, mje naye.
 
Mambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu"

Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema

Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)
Duh,hadi na matusi iko kwa jukwaa ya jf
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom