We Mganyizi hebu acha mambo yako

Duh!mafataki wataisha lini jamani,,watoto wenyewe nao wamekuwa na tamaa kupita kiasi!
 
hii katuni ni kali hilo FATAKI hapo mpaka Udenda! Hizo pesa na Simu zitaweza kumpoteza kabisa huyo mtoto ambaye yeye anawaza Masomo tu
 
Jiulize hiyo midola kaipata wapi?Any way hapa kinaangaliwa kinachoonekana tu! dolari
 
na blackberry juu...hahaa mambo ya facebook full time,juu ya nini kusomaga madarasa pasi kumalizaga wakati mafaranga yapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom