We mbishi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We mbishi?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Maxence Melo, Apr 25, 2008.

 1. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #1
  Apr 25, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  WAPENDA UBISHI watatu walibishana kuwa nani amekubuhu kwa ubishi kati yao. Wakaamua kila mmoja AHADITHIE UBISHI aliomfanyia mkewe ili wapime nani kabobea zaidi kwenye fani.

  MBISHI WA KWANZA AKASEMA
  Mimi siku moja nilivyokuwa nje ya nchi nilmpigia mke wangu simu usiku kapokea simu hakusema Haloo...Kulaleki! Na mimi nikakaa kimya sikuongea mpaka alfajiri wakati simu ilikuwa wazi (haijakatwa)

  MBISHI WA PILI AKAITIKIA
  Mbona hiyo cha mtoto,mimi siku moja nimerudi home nikagonga mlango mke wangu akaufungua lakini hakusema KARIBU mume wangu... aliniangalia tu.. nikaona analeta dharau! sikuingia ndani nikasimama hapo hapo mlangoni mpaka asubuhi...huyoo nikatimua zangu kazini.

  MBISHI WA TATU AKAUNGANISHA
  Hiyo nayo mbona cha mtoto tu, mimi mke wangu tulipooana alikuwa anaona haya kunigusa... ananidengulia eti! Na mimi sikumgusa na mpaka leo hatugusani.

  MBISHI WA KWANZA NA WA PILI
  Aaaaaaaaaaaaah! Faza! Acha usanii,nyie si mna watoto wawili lakini?

  MBISHI WA TATU
  Na hao watoto sijamuuliza kawaokota wapi... kwani mimi nataka mchezo.

  Je wewe ni Mbishi Namba Ngapi ????
   
 2. Tanzania 1

  Tanzania 1 Senior Member

  #2
  Apr 25, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 197
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuh!! Hao, Mkuu, si wabishi; ni majuha!
   
 3. Jeni

  Jeni Senior Member

  #3
  Apr 25, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tena Majuha KALULU
   
 4. B

  Big dee Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni zaidi ya wabishi.
   
 5. T

  True0danny Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wote hao hawajielewi,,, ukifuatilia vzur maisha yao utakuta wataja kuishia wachawi!
   
 6. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,261
  Trophy Points: 280
  Hao jamaa ni ma great poor thinkers...ingawa wana vijireason vyao
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  dah,,, hao ni vilaza watupu hao.
   
 8. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao ni wehu
   
 9. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo watatu f.a.l.a kabisa!
   
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  amepitiliza ufala kweli
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  aaiiseee!!! Unakua na mume mbishi mpaka hajakugusa na watoto alea....lol...
   
 12. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Hao ni mazuzu wala sio wabishi.
   
 13. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Dah! Mkuu kumbe alikuwa anadondoshaga vichekesho anga hizi? Ila huyo mbishi wa tatu bonge la mjanja.
   
 14. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ni ubishi au ubwege.? Huyo wa3 akajisalimishe mirembe.!
   
 15. facebook

  facebook Senior Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyo mzuri sana! Au waonaje?
   
 16. v

  valid statement JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa yani.
  Ni mazuzu bin zezeta.
   
 17. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hivi huu ni ubishi au ni ghubu? huku ni kutaka kuthaminiwa na kunyenyekewa wakati wewe mhusika hujawahi kufanya hilo...
   
 18. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wa tatu ndio mwenyewe, Mbishi mbaya kabisa
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  na wewe kama sio Mbishi, jiondoe JF ukiendelea kung'ang'ana na wewe ni mbishi vile vile.
   
Loading...