We learn to be racist but we are born innocent

Wakikua hao kila mmoja ataanza kujiona tofauti na mwenzie. It's human nature.
 
Ubaguzi una anzia ngazi ya jamii kujiona wao ni bora kwa rangi pesa elimu au maumbile
Kuna baadhi ya sifa zinarithishwa kibaiologia.
Unakuta katoto kadogoo ..ila kachoyo kagomvi. Kumbe tabia za wazazi.
 
Ubaguzi hauwezi isha, labda ingekuwa Mungu ameumba watu bila tumbo.. Think deep utanielewa
 
Tofauti itakuja hawa watoto watakapoona jamii unawaza ana kwa mtazamo tofauti

Watoto bado hawajui tumbo ni nn, wakilia wanapata chakula bure, hawajui kitu, ila kadiri anavyokuwa, tumbo linamfundisha ubaguzi ni sehemu ya maisha, na haikwepeki, hata kama ni kwa kiwango kidogo ni ubaguzi tu, ubaguzi lazima aiseee
 
Back
Top Bottom