We kijana ulishawahi kuombwa uroda na mdada?

Kiasi flan zina ukwel kidogo mkuu mm mwenyewe ni mwanachama Hai Sema effects zinakuja kutokea mbele ya safari
Hazina ukweli ni kwasababu umeziweka kichwani mwako ndio maana zinatokea, ni kama enzi za hofu ya corona ukipiga chafya tuu unawaza kifo kumbe hamna kitu
 
Ni Jambo zuri Sana Kama mwanamke nae akiomba tena kwa Uhuru na uwazi. Sio kila Mara ni mwanaume tu.
Wanawake ombeni game sanaa tu
 
Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi. Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja Mwananyamala alikuwa ana style yake ya kuomba mapigo, ananipigia simu akidai anaumwa sanaa, basi kidume najikusanya na vimatunda kwenda kumuona mgonjwa nikifika kwake dogo anaomba mapigo.

Embu na wewe useme sasa, ulishawahi ombwa mapigo?
Aliniomba nikamsaidie kuua mende kwenye bafu ndani ya pagale
FB_IMG_1597056431523.jpg
 
Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi. Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja Mwananyamala alikuwa ana style yake ya kuomba mapigo, ananipigia simu akidai anaumwa sanaa, basi kidume najikusanya na vimatunda kwenda kumuona mgonjwa nikifika kwake dogo anaomba mapigo.

Embu na wewe useme sasa, ulishawahi ombwa mapigo?
huwa ananipigia simu ananiambia can we have sex today hapo basi siku nzima inakua nzuri
 
Kama wangu mkuu,yaan anauliza "leo utakuwa bussy"? Ukimwambia ndio utaskia nlikuwa najua upo nyumban nije ila ndo ivo tumeznguana hakuna mawasiliano huu n mwez wa pili roho inaniuma kinouma due cpat tena zile blowjob
Nipe namba yake
 
Mwaka fulani nilikuwa napiga job tempo chuo fulani,hapo chuoni nikazoeana na demu fulani ambaye alikuwa ameajiriwa hapo chuon.Kuna muda alisikia karibu naondoka kwenda masomoni jioni moja akanichana kwa kimombo "I want to sex with you.Nikampuuza,sijui alikuwa anamaanisha? Huyu demu nilikuwa nina masihara naye lakini siku hiyo nilimuona alikuwa serious
 
Mi alinitext akanambia kunakitu nataka nikuambie nikamwambia unataka kuomba ela nshajua akasema no ntakuambia,mwisho wa siku akanambia mume ake kasafiri hajammisi ila amemis kuwa na mimi karibu ana zawadi yangu, siku ya kwanza akafunga safari to home ,nikakaa nae tukala pamoja piga story sana (alikua x wangu), ila siku hiyo hakua tayari, akaja tena ndo akanambia nataka tulombane live, tulienjoy sana sana tu ila akanambia siku ile ndo mwisho na mwanzo nikazani utani bana, akaenda uko akabadili na namba hadi leo atujaonana na sijui alipo,
Alisema anahamu ya kunizalia ila anaogopa kuvunja ndoa yake so bora anipotezee ili asiniwazie najua atanitafuta tena
 
Similar Discussions

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom