We kama hunipendi poa

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Apr 14, 2013
155
19
We kama hunipendi kuna kundi la wananipenda we kama hunijali jua kuna anaenijali na kunithamini we kama unanichukia wapo wanaoongea na mimi na kucheka nao. Niseme upendavyo na nichukie utakavyo ila mimi nitabaki kuwa mimi ktk maisha haya
 
kulikoni ndugu?
 
kumbe umepigwa kibuti huko. Pole mwaya. Ukikua utaelewa una bahati kiasi gani kudenguliwa. Acha akasake dressing table imuwowe.

aagh haiko ivyo kuna baadhi ya wa2 wanakuchukia pasipo 7bu maalumu kwan nn m2 awe hivyo ikiwa hujamkosea
 
Mkuu Mtambuzi, huyu naye hajiamini au?
We kama hunipendi kuna kundi la wananipenda we kama hunijali jua kuna anaenijali na kunithamini we kama unanichukia wapo wanaoongea na mimi na kucheka nao. Niseme upendavyo na nichukie utakavyo ila mimi nitabaki kuwa mimi ktk maisha haya
 
you again......,
ni yule aliekudump na kudump na kukuchezea kama paka alieshiba
xaxa xi naxikia amepata wa kumuwowa
 
pole ndugu, angalia maisha yako mbona unapoteza muda mambo ambayo hatakusaidia maishani? time is money.
 
Back
Top Bottom