MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
We kama hunipendi kuna kundi la wananipenda we kama hunijali jua kuna anaenijali na kunithamini we kama unanichukia wapo wanaoongea na mimi na kucheka nao. Niseme upendavyo na nichukie utakavyo ila mimi nitabaki kuwa mimi ktk maisha haya