We dada wa shirika la posta nilileta project ya posta kiganjani ukajifanya una project ya posta kuuza kama ebay

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Watanzania wengi ni copy and paste.
siku moja niko zangu majuu huko kwa Madiba nikaona tatizo la Shirika la Posta jinsi mtu akiondoka kwenye nyumba lile sanduku la posta linabaki pale mpaka ufanye utaratibu wa kuomba maombi na usipofanya hivo barua nyingi zitakuja pale.

Nikawaza kwanini kusiwe na sanduku la Posta unalotembea nalo kama barua pepe.

Yaani unakwenda sehemu X halafu unachange address kuwa hupo huko na barua ikifika kwenye shirika wanajua na kukupelekea huko.

Sitafunguka sana kwa sababu hiyo project naona bado wanaangalia tu. Mwenye project na mafail ni mimi niliyefanyia hayo.

Kisa chenyewe.
Mwaka 2021 nilikwenda makao makuu pale Posta ofisi karibu na jengo la Mambo ya Ndani nikabahatika kukutana na dada alikuwa kitengo cha idara ya IT wakiwa kwenye project ya TTCL kuuza kwa mtandao kama ebay. Nikashangaa sana na kumueleza nina project na kumueleza japo kidogo kumbe alikuwa ananichora tu.

Nipo zangu huku kwa wasukuma nashangaa kuona kile nilichomwambia ndio kimetengenezwa tena mpaka jina. Ila sikuwa na copyright .

utaweza maliza ukuwa muwazi
 
Pole sana ndugu
Watanzania wengi ndivyo tulivyo hatutaki ku appreciate,kuwapa nafasi wenzetu ila tuna ubinafsi,wivu na roho mbaya
Hatupendi mafanikio ya wenzetu,huyo dada aliona fursa pesa hivyo akaona amalize kupitia yeye mwenyewe.

Niliwahi kufanyiwa hii kitu,inakera🙌
 
watanzania wengi ni copy and paste.
siku moja niko zangu majuu huko kwa madiba nikaona tatizo la shirika la posta jinsi mtu akiondoka kwenye nyumba lile sanduku la posta lina baki pale.
mpaka ufanye utaratibu wa kuomba maombi na usipofanya hivo barua nyingi zitakuja pale.

Ni kawaza kwa nini kusiwe na sanduku la posta unalotembea nalo kama barua pepe.

yani unakwenda sehemu X alafu unachange address kuwa hupo huko na barua ikifika kwenye shirika wanajua na kukupelekea huko.

sitafunguka sana kwa sababu hiyo project naona bado wanaaangaia tu .mwenye project na mafail ni mimi niliyefanyia hayo.
Corporates karibu wote ndio wanavyofanya unamuelezea mtu project anakusikiliza wee kama anaielewa ukilimaza anakwambia ngoja niongee na wenzangu. Kumbe wanaangalia kama wanaweza kuifanya wenyewe wakiona wanaweza chawa wanaipeleka kwa bosi kama ubunifu wao. Acha kugawa bure mkuu
 
Back
Top Bottom