We dada kwenye mwendokasi

Ila kwenye mwendokasi baadhi ya Vijana(sio wanaume, mwanaume hawezi kuwa na tabia hiyo) wanalazimisha kuegemea wanawake kwa nguvu.

Siku moja nilipanda Mwendokasi ya Gerezani- Kimara, kuna kijana akawa analazimisha kumuegemea masichana ambapo wote walikuwa wamesimama, msichana akawa anamsukuma ili aache kumuegemea, kijana naye akawa anajifanya kama hasikii huku akiendelea kuegemea kwa nguvu...

Kitendo hicho kilikera sana wengi tuliokuwa karibu, baadae kijana aligundua kuwa anajidhalilisha akaamua kuhama hiyo sehemu na kwenda kusimama sehemu nyingine mbele.

Vijana msiwe mnatumia nguvu muwapo kwenye usafiri wa umma dhidi ya wanawake, isipokuwa ukipata chance furahia pekee yako na wanawake wakishagundua hivyo huwa wana kaa kimya ili wasije wakajidhalilishe endapo watu wengine wakijua kinachoendelea
 
Nimewahi sit no 2
tapatalk_1559806541019.jpeg
 
Back
Top Bottom