We Cheka tU

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,021
189
dogo mmoja anasoma darasa la
tatu.
[dogo:]mwalimu mimi nataka
kusoma darasa la nne maake hili la
tatu halinifai,nina akili sana
[mwalimu:]mmh hebu nikuulize
maswali
[dogo:]sawa
[mwalimu:]kweny e ndege kuna
matofali 20 ukidondosha moja chini
yanabaki mangapi?
[Dogo:]hili swali rahisi mno,yatabaki
19
[mwalimu:]nipe hatua za kumweka
tembo kwenye fridge
[dogo:]unafungu a fridge,unamuing --
iza tembo kisha unafunga friji
[mwalimu:]nipe hatua za kumweka
nyani kwenye fridge
[dogo:]unafungu a fridge na kumtoa
huyo tembo ulemweka kwanza kisha
unamuingiza nyani
[mwalimu:]simba anasherehekea siku
yake ya kuzaliwa,wanyam a wote
wapo kasoro mmoja tu Ni nani na
kwa nn?
[dogo:]ni nyani kwa sababu
tumemuweka kwenye fridge
[mwalimu]:bibi kizee amevuka mto
wenye mamba na viboko
wengi,aliwezaje ?
[dogo:]amevuka kwa sababu
wanyama wote walikuwa kwenye
sherehe ya siku ya kuzaliwa ya
simba
[mwalimu:]sawa, in gawa bibi
alivuka mto,mwishowe
alifariki,unadh ani kwa nin?
[dogo:]alikufa kwa kudondokewa na
tofali kutokakwenye ndege,kwenye
yale 20 tulopakia na baade
kudondosha moja chini
[mwalimu:]huyu dogo akasome chuo
kikuu. Anajibu mambo ambayo hata
mm nisingeyajua
mpe jina huyu dogo. Ww ungeweza
kujibu haya maswali?
 
mulugo,lukuvi na fastjet pekee ndio hawawezi kujibu maswali hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom