mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 638
- Thread starter
- #121
mwananthropolojia ,unashangaza sana
'
Unahusishaje mambo mawili yasiyohusiana?
'
Nimekueleza kwa uwazi kuhusu tatizo lako la kubagua maandiko,huelewi
'
If you believe that there is a "contradiction" in the bible,you put whole bible in jeopard
'
Maneno ya Yesu kutokuhubiri injili kwa mataifa,halafu mwishoni kuwaagiza waende ulimwenguni ni kujikinza kwa mujibu wako,sasa unawezaje kuniambia kuwa hakuna kujikinza kwingine kwenye biblia?
'
Utakua na kazi kubwa sana kututhibitishia ni maandiko yapi ni sahihi na yapi sio sahihi na itabidi utuambie umetumia kipimo gani kuyabagua maandiko hayo
'
Halafu ni wapi nimesema Yesu amehubiri injili kwa mataifa?Acha kusema uongo
'
Nakushauri Either uikatae biblia yote au uikubali yote
'
Kama utaendelea na mtindo huu mjadala huu utakua mgumu sana
'
Utakua mgumu kwa kuwa ninapokupa ushahidi unasema ni fabrication,sasa tutafika kweli?
ok we unaonaje tukubali biblia nzima ni kweli hata kama tunaona contradictions au tuikatae kutokana na mambo yanayokinzana ndani ya kitabu na kutuchanganya?
huku tukijarib kwa nguvu zote kutafuta kamstari kamoja kamoja ili kujiridhisha kwamba na sisi wa mataifa, Mungu wa Israel hajatusahau
maana najaribu kutafuta nabii au mtume asiye mwisrael kwenye kitabu hata la agano jipya na bado sijampata ,sasa najiuliza hivi Mungu wa Israel ni wetu kweli? au tuwathibitishe akina mwingira kama manabii ili turidhishe nafsi zetu?