MaxShimba JF-Expert Member Apr 11, 2008 35,772 4,054 Nov 27, 2012 #1 How does she stay sexy at this age??
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Nov 27, 2012 #3 Alichonimaliza ni kuikatia miguu yake Bima ya mamilioni ya dola!
Mrembo JF-Expert Member Oct 9, 2008 414 210 Nov 27, 2012 #4 mazoezi na kula vizuri ndio jibu Huyu mama kapitia magumu mengi kwenye maisha yake. Mungu ambariki maisha marefu.
mazoezi na kula vizuri ndio jibu Huyu mama kapitia magumu mengi kwenye maisha yake. Mungu ambariki maisha marefu.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,834 155,782 Nov 27, 2012 #5 Mrembo said: mazoezi na kula vizuri ndio jibu Huyu mama kapitia magumu mengi kwenye maisha yake. Mungu ambariki maisha marefu. Click to expand... alifanyiwa upasuaji wa ngozi, ana lingozi la plastiki
Mrembo said: mazoezi na kula vizuri ndio jibu Huyu mama kapitia magumu mengi kwenye maisha yake. Mungu ambariki maisha marefu. Click to expand... alifanyiwa upasuaji wa ngozi, ana lingozi la plastiki
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,781 Nov 27, 2012 #6 ana miguu mizuri kama ya yvonne chakachaka Ndallo said: Alichonimaliza ni kuikatia miguu yake Bima ya mamilioni ya dola! Click to expand...
ana miguu mizuri kama ya yvonne chakachaka Ndallo said: Alichonimaliza ni kuikatia miguu yake Bima ya mamilioni ya dola! Click to expand...
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Nov 27, 2012 #7 Mazoezi muhimu...sio kula chips mayai