WCF wameishia wapi?

metudi

Senior Member
Aug 13, 2014
150
72
Wadau..hivi wcf wameishia wapi maana ni kimya kikuu kimetanda tangu ilipofanyika ile written interview pale IFM na DUCE
 
Watakuwa wameshachoma yale makaratasi na ajira wameshawapa watu wao.

Hii ndio Tanzania.
 
Back
Top Bottom