WCB watoa nyumba tano kama mchango wa waathirika wa mafuriko Iringa

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diamond Platinumz amethibitisha kwamba WCB watatoa nyumba tano kama mchango wao kwa waathirika wa mafuriko Iringa.
 
Hizo nyumba ziko wapi!? ...maana nasoma kuwa watazikabidhi watakayofika/kwenda Iringa hivyo nikadhani labda kuna mtu anazihifadhi kabla ya kuzipeleka kuzikabidhi.
Kumbe wakuu wa wilaya/mkoa Kagera walikosea kutokuja kuwaona WCB na kupiga nao picha labda nao wangeambulia walau nyumba moja.
 
Mungu aendelee kumpigania azidi kung'aa zaidi na zaidi!
Hakika wewe ni mfano wa kuigwa
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom