WCB Wasafi wafukuza Kifesi na Q Boy baada ya kutoka na gari la Zari

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,940
19,130
ni kutoka Shilawadu ....yasemekana walichukua gari hilo na kwenda kupiga nalo misele, gari hilo kuonekana mahali flani ikaleta maneno kuwa zari ndio alikuwa viwanja hivyo na mfanyabiashara flani hivi,

 
Kuna watu wana wivu jamani mnaona kifesi anafaidi sanaa hapo wcb mpaka kumuombea mabaya hivyo!!!??
 
warumi leo bado yupo kwenye kikao cha muda mrefu na bwana yule kutafuta namna ya kustabilize makuu yaliyotokea mitandaoni.
Otherwise hii habari ilikuwa hatimiliki yake pasi na shaka
 
Back
Top Bottom