WCB Wasafi kuachia wimbo mpya leo

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
Label ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz pamoja na wasanii wake akiwemo Rich Mavoko,RayVanny na Harmonize inasemekana Dec 20 wataachia wimbo mpya ambao mpaka sasa haujajulikana utatoka kwa msanii gani kati ya wasanii wanaounda kampuni hiyo.

Updates......

Brand new hit Queen Darln ft Rayvanny - Kijuso

Kwa vyovyote vile itakua ya Harmonize.

Kwa siku za Karibuni Diamond na Mavoko wametoa nyimbo yao ya KOKORO, kabla ya hapo Ray Vanny na Diamond walitoa ngoma yao ya SALOME. Kwa hiyo sasa hivi ni zamu ya Harmonize.
 
Label ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz pamoja na wasanii wake akiwemo Rich Mavoko,RayVanny na Harmonize inasemekana Dec 20 wataachia wimbo mpya ambao mpaka sasa haujajulikana utatoka kwa msanii gani kati ya wasanii wanaounda kampuni hiyo.
Kijuso-Queen Doreen ft Ray van.
Hakika vijana hawani hatari na ni chaguo la watanzania...
 
Kwa vyovyote vile itakua ya Harmonize.

Kwa siku za Karibuni Diamond na Mavoko wametoa nyimbo yao ya KOKORO, kabla ya hapo Ray Vanny na Diamond walitoa ngoma yao ya SALOME. Kwa hiyo sasa hivi ni zamu ya Harmonize.
Kijuso-Queen Doreen ft Ray van
 
Hapa ni ngoma baada ya ngoma hadi wali timu zingine wasande gemu dadeki
 
hizo blaaaaah blaaaaah sitaki kusikia....

Acha maneno weka Muziki....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom