WCB walipwa bilioni 2 na Universal music, TRA walamba mil 35

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Msanii diamond platnumz na lebal yake ya WCB wamelipwa dola milioni 1 sawa na Tsh.bilioni 2 na campany ya Universal Music Group ili kusambaza nyimbo zao kote duniani kote.
Diamond asema ndo msanii pekee Tanzania na label yake wamelipa kodi milioni 35 TRA.
Amesema kulipa kodi ni jambo na wajibu wa kila mtanzania.
1479898414701.jpg
 
Najua watu watabisha, sasa mkitaka kujirizisha nendeni TRA, simple like that, go chibu usiangalie nyuma, utakeuga jiwe alafu utashindwa kumove on.
 
Swala la kodi halikwepeki, siku ukiingia kwenye reli ya TRA huna ujanja lazima ulipe. Kuna siku niliingiza guitar jipya kutoka Sweden nikapigiwa mahesabu nikaambiwa nililipie laki nne mi mwenyewe nilichoka.
Eeh lebel yke inaitwaje mkuu
 
Back
Top Bottom