WCB wako sahihi kukopi system ya ulinzi wa Rais wa JMT?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Kama unawafuatilia vijana wa WCB hasa diamond na harmonize wameadvance walinzi wao wanatembea na head4n.

Pia kama wanaenda sehemu lazima wao watangulie na wanakifaa cha kupima km kuna bomu niliona pale kwenye katafsrija cha makonda.

Pia km unafuatilia kipindi cha coce studio utaona ni security Kali ya harmonize na rayvany imetawala.

Pia wana bullete proof ..nauliza tu wadau nitoeni ushamba au kuna kibali maalumu wanapewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao walinzi wa JMT wana hati miliki ya hiyo system kuwa hairuhusiwi kutumiwa na mtu mwingine yule?

Isitoshe hizo zote ni juhudi za Mzungu, kwahiyo kila mtu anafanya apendavyo.
 
kingine wale ni mgambo hawa wa JMT ni too advanced
 
Wekeza kwenye usalama wako kwa namna unavyo weza , hakuna wakukubuguzi wala wakuuliza eti hii ni style yangu ya ulinzi
 
Kama unawafuatilia vijana wa WCB hasa diamond na harmonize wameadvance walinzi wao wanatembea na head4n.

Pia kama wanaenda sehemu lazima wao watangulie na wanakifaa cha kupima km kuna bomu niliona pale kwenye katafsrija cha makonda.

Pia km unafuatilia kipindi cha coce studio utaona ni security Kali ya harmonize na rayvany imetawala.

Pia wana burrete proof ..nauliza tu wadau nitoeni ushamba au kuna kibali maalumu wanapewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu hata ni headphone tu wanasikiliza miziki yao, hakuna vifaa vya mawasiliano wala nin
 
Sasa mnataka hela yake atumie nini kama si kuzitumia umo umo.
 
Kama unawafuatilia vijana wa WCB hasa diamond na harmonize wameadvance walinzi wao wanatembea na head4n.

Pia kama wanaenda sehemu lazima wao watangulie na wanakifaa cha kupima km kuna bomu niliona pale kwenye katafsrija cha makonda.

Pia km unafuatilia kipindi cha coce studio utaona ni security Kali ya harmonize na rayvany imetawala.

Pia wana bullete proof ..nauliza tu wadau nitoeni ushamba au kuna kibali maalumu wanapewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishahama ulinzi na msafara wa Samatta akija Tanzania? Utashangaa mara 2 ya hiyo ya Diamond
 
Kama bullet proofs zinapatikana kizembe hivyo,tutarajie siku kuona majambazi wakivamia sehemu huku wakiwa wamevalia 'full mayoko'.

5/5
 
Back
Top Bottom