Wcb wafuata pesa za Korosho Mtwara

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,525
3,649
Hawa jamaa ni smart sana. Wanajua kabisa watu wa mtwara watakuwa washajazwa pesa za korosho kwa hiyo kuingia kwenye show ya 10000 kwao itakiwa sio issue. Kumbuka hapa mtu hata kama atakuwa bado hajalipwa, ana uwezo wa kukopa na akipata pesa zake baada ya kuuza korosho akalipa deni. Kwa kifupi kipindi hiki hela ipo mtwara. Big up WCB kwa kuona mbali
 
Haya ni maoni yangu tu wakuu
 
Mi kesho naenda ku piga show huko yaan sibanduk huko mpaka kieleweke ntapiga had show za mchangan/uswaz
 
Back
Top Bottom