WCB vs THT

Mzee asikatae diamond ana influence kubwa Sana ndomaana wasanii walikuwa ngoma zao hazipigwi kwenye hizo redio sasa hiv wakufa kimziki lakini kwa mond anazidi kudunda tu
JAYJAY
Nguvu ya redio mbili tatu kuzuia harakati za msanii zilikuwa zamani Ndugu. Hakuna tena nguvu hiyo hivi sasa katika zama za information technology. Watu wanapata ngoma mpya kila siku kupiti a mitandao mpaka vibanda vya kuweka nyimbo. Hapo ni kwa wale wenye access hiyo, wale wasio na access bado wanasikiliza kwa zile redio nyingine zinazocheza ukiacha hizo tatu. Umungu mtu wa wamiliki wa redio kwisha .
 
Back
Top Bottom