WCB naona Nyimbo juu ya Nyimbo, Kuna nini?

Mziki ushakuwa wa WCB , wasanii wengine kama wamechoka hvi au wamekata tamaa, nawashauri wakomae Tu kibabe, remix ya Ushamba ya harmonize ina view 200K ni wiki ya pili sasa..... Ila hzi nyimbo mbili Rayvany ft Zuchu na Diamond ft Kofi olomide , zimevuruga kabisa hali ya hewa , hzo zingine dis-track nafkri wanauchangamsha mji ,.....
Kwahiyo YouTube views ndio ubora wa wimbo ?

Ninyi majamaa sijui mmerogwa, kizazi cha kipumbavu kweli.
 
Kwahiyo YouTube views ndio ubora wa wimbo ?

Ninyi majamaa sijui mmerogwa, kizazi cha kipumbavu kweli.
Sasa maswala ya kutukanana yametoka wap tena boss ?? , ubora wa nyimbo unapimwa vip Kwa upande wako ?? , istoshe nan kapima ubora wa nyimbo hapa au ni mtazamo wa trending za mashabiki kwenye digital platform inayofanya vizur zaidi ukanda huu notably youtube....itoshe kusema we ndo mpumbavu Mkubwa na aliyekuzaa ana hasara
 
Narudia tena wewe ni mpumbavu.
 
Naona mwisho wa Mwaka ndani ya Mwezi mmoja WCB wanaachia pini juu ya pini zaidi ya Nne ambayo sio kawaida.

Lavalava ft Diamond
Rayvanny ft Diamond
Baba Levo ft Diamond
Diamond ft Koffi Olomide
Zuchu & Rayvanny

Hizo tatu za mwanzo kama wanamshambuliana "Kibonge ila Kwenye Muziki Bado Sanaa.."

Sio kawaida yao kutoa nyimbo kwa wingi hivi uwa wanaachiana Airtime. Au ndio wanataka piga show za Mwisho wa Mwaka vizuri?
Wanawahi wasijeanza kulipia kodi viewers kule YOUTUBE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom