Mtoa mada anasema WCB inawaitaji clouds na me nimemuuliza Kama kweli WCB inawaitaji clouds mbona wasanii wa hao clouds hawafanyi vizuri? WCB wapo mbali kuliko hao wasaniiHuenda diamond angekuwa mbali zaidi ya hapo unapomuona!
Au unamuona ameshafika mwisho?