WCB Label Wanawahitaji CLOUDS MEDIA kuliko hata Wcb wanavyowahitaji Babu tale na Sallam sk

Huenda diamond angekuwa mbali zaidi ya hapo unapomuona!
Au unamuona ameshafika mwisho?
Mtoa mada anasema WCB inawaitaji clouds na me nimemuuliza Kama kweli WCB inawaitaji clouds mbona wasanii wa hao clouds hawafanyi vizuri? WCB wapo mbali kuliko hao wasanii
 
Kiba anapewa promo.mpaka.na WAPO Redio lakini anaishia mombada tu
Hao wanaombania Nassibu ndio wanamuongezea akili ya kutafuta njia zingine za ku survive
Muda mfupi ujao wasafi redio itasikika dodoma,pole pole ndio mwendo hata clouds ilianza kwa kuishia mbezi tu
 
Huku CHATO, nyimbo za WCB hadi mbugani kulee juzi tunawashusha simba wetu wapya kusapoti jitihada za awamu ya 5 tunasikiliza tu MAGUFULI BABALAO.

WCB wana nguvu kuliko hizo media mtembelee mikoani huku mtapata majibu nyimbo za WCB inatoka leo na leo bodaboda na pub zote wanazo hiyo CLOUDS kwanza wanasikiliza watu wakiwa kwenye magari yao tuu huku ground mambo ni tofauti sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina haja kumjua mtoa mada ni nani

Screenshot_20200214-160300.jpeg
Screenshot_20200214-160338.jpeg

Screenshot_20200214-160352.jpeg
Screenshot_20200214-160403.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada anasema WCB inawaitaji clouds na me nimemuuliza Kama kweli WCB inawaitaji clouds mbona wasanii wa hao clouds hawafanyi vizuri? WCB wapo mbali kuliko hao wasanii
Usiseme hawafanyi vizuri,au kufanya kwako vizuri ni mpaka walingane au kumzidi Diamond?Unaweza sema akina Marioo,King Kiba,Jux,Barnaba,Ney wa mitego,Vanessa,Harmonize Nk hawafanyi vizuri?

Shida ni kuwa unaka kufanya kwao vizuri ni mpaka wamshinde Diamond!
Diamond tayari alikuwa ameshatengeneza fan base,lakini diamond bila maelewano na clouds na diamond akiwa na maelewano na clouds naona atasogea mbele zaidi kama atakuwa na maelewano na media nyingine!
 
Nitajie ngoma hata moja alitoa kiba mwaka 2019 ikawa hit song? Hata ngoma kubwa ya harmonize ni kwangwaru ni ile aliyoifanya akiwa yupo WCB.Clouds ndo wanamuitaji diamond kuliko diamond kuwaitaji clouds
 
Kadogo na Mshumaa!Sasa unataka harmonize awe na ngoma kubwa kuliko kwangaru wakati ni juzi tu katoka WCB?Hata diamond hana ngoma kubwa kuliko kwangaru!
Hata siku moja Media haijawahi kumuhitaji mtu kuliko yeye anavyoihitaji!Sema mnachoshindwa kuelewa ni kuwa Diamond naye pia ana Media,hivyo ni Media vs Media &Diamond!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom